Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
hatari aisee 😂Baba Yolly mwehu yule Akili zake anazijua mwenyewee😀
ni mcheshi balaa .
hatari aisee 😂Baba Yolly mwehu yule Akili zake anazijua mwenyewee😀
Weee kwanini sasa mjomba nawee! !Wee hutaki safisha macho mjomba!! Najua wapenda ushari shariii 😀😁😁Siku hizi siangaliagi picha hata 🙂🙂🙂
😅😅
Mnooooooo!!hatari aisee 😂
ni mcheshi balaa .
hakika funny guy indeed .Mnooooooo!!
Dada wangu unapoteaa sanaa, 🙂🙂🙂😅😅
Kaka nakusalimia habari yako
Majukumu kaka yanakaba +uzeeDada wangu unapoteaa sanaa, 🙂🙂🙂
Ebu nione kama umeanza kuzeeka 🫠🫠🫠Majukumu kaka yanakaba +uzee
Familia haijambo lakini
Tumekumic pia dada etyu
Wow ni jambo la kheriEbu nione kama umeanza kuzeeka 🫠🫠🫠
Familia haijambo tupo tumelala leo weekend labda ufanye kututoa out
Kwa uzee gani muone!! Wenzio tunaulaani uzee wee unauliliaa shauri yako😁😁😁😁!!Majukumu kaka yanakaba +uzee
Familia haijambo lakini
😀😀😀😀 kwani mlikubalianaje na shemeji vocha Mjep au kaisha kengeuka tayariWow ni jambo la kheri
😅😅 hapo kwenye uzee niachie fanya namna mdogo wako nitoke nyumbani
Nakuja kuwatoa msijalii 🥰 nipeni location
Madam nimezeeka achaa 😅Kwa uzee gani muone!! Wenzio tunaulaani uzee wee unauliliaa shauri yako😁😁😁😁!!
Location utuchagulie tu, sie tutakufata unae tutoa out😁😁Wow ni jambo la kheri
😅😅 hapo kwenye uzee niachie fanya namna mdogo wako nitoke nyumbani
Nakuja kuwatoa msijalii 🥰 nipeni location
Ana balaa walai wenzio hata hio shangazi tunaitikia ni basi tyu nani anataka kuzeeka 😁😁🤔🤔 eti ye ajiita mzee binti kigoriiiiiii mbichi kabisa!!Ebu nione kama umeanza kuzeeka 🫠🫠🫠
Familia haijambo tupo tumelala leo weekend labda ufanye kututoa out
😬😬😬 dalili ya mvua mawingu, saka kwanza hela dada yangu asije kunyanyasaNisaidie kuongea nae ananitesa huyoo mpaka nakoma 🥺
Uzee mwisho chalinzeee usiwatanieee wapee ivoivo nauzee wakoo !! Au nasema uongo mjomba National Anthem ??? 😂Madam nimezeeka achaa 😅
Najiona kabisa uzee huu hapa kwa jinsi siku zinavyoenda kasi
😀😀😀😀 Asibe Happy ni mwisho wa maneno.. huwa naipenda sana hii ngoma kwenye safari ndefuuUsifananishe Asibe Happy na vitu vya ajabu, mkuu. 😄🔥