CAPTORHINOMORPHS
JF-Expert Member
- Sep 29, 2019
- 3,066
- 7,650
Happy sabbath brethren
Saivi namalizia jumuiya hapaa mjeda leo tunasalia kwa Mwl Revelius!mambo mrembo,niko poa kbs,mambo yanaendaje, sabato ya leo unaanzia wapi?
ooh safi sana,msalimie ticha reveliusSaivi namalizia jumuiya hapaa mjeda leo tunasalia kwa Mwl Revelius!
Hio Ofresi sasa Nimechekaaaa😂😂😂😂 umebakiza meno mangapi babuu naona hata matamshi ishakua shidaaaaa,😁😁!! Dalali atafutwe kwa udi na uvumba!Marahaba Mjukuu, huyu Dalali amefanya niwe ofresi 🤪
Uzee umefanya nipoteze meno yote ya mbele, ndiyo maana hata nyama yenyewe nakula Maini tu 🤪Hio Ofresi sasa Nimechekaaaa😂😂😂😂 umebakiza meno mangapi babuu naona hata matamshi ishakua shidaaaaa,😁😁!! Dalali atafutwe kwa udi na uvumba!
Wakule noma sana babuuu nawaaminiaaa!! Dalali hajipendi walai bora ajisamilishe mwenyewe mapemaa!Uzee umefanya nipoteze meno yote ya mbele, ndiyo maana hata nyama yenyewe nakula Maini tu 🤪
Dalali asipopatikana nitatumia mbinu ya asili ya ndugu yangu Kinjikitile Ngwale 🙈🤸🤸
Ukija Likizo Kijijini nitamwambia Bibi yako akupe abc 😂Wakule noma sana babuuu nawaaminiaaa!! Dalali hajipendi walai bora ajisamilishe mwenyewe mapemaa!
Namie Mjukuu wako Naomba unifundishe kareti nifuate nyayo za kule babuu 😀
Unifundishe mjukuu wako kareti ataenizingua tu matekeee😖😖Uzee umefanya nipoteze meno yote ya mbele, ndiyo maana hata nyama yenyewe nakula Maini tu 🤪
Dalali asipopatikana nitatumia mbinu ya asili ya ndugu yangu Kinjikitile Ngwale 🙈🤸🤸
Kabisa babu fanya hivo!! Unajua mjukuu ako mie sipendagi dharau kabisaaa wakizingua niwabutue kweriii kweriii😛Ukija Likizo Kijijini nitamwambia Bibi yako akupe abc 😂
Mjukuu ukiwa mtaalamu wa Kareti utafanya Wanaume wasilete Posa ujue 🤪Unifundishe mjukuu wako kareti ataenizingua tu matekeee😖😖
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ili niwe fiti nijilinde mie walionizunguka na nilinde mali za babu pia !!Mjukuu ukiwa mtaalamu wa Kareti utafanya Wanaume wasilete Posa ujue 🤪
Na huo mzigo plus karateee kweliii jamaniUnifundishe mjukuu wako kareti ataenizingua tu matekeee😖😖
hahaha atupumzishe kwa kweli 😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Kabisaaa viishe tu ba Yolly Carrasco putin akome kutuchamba matambi na makomwe yetu 😁
ngoja aje 😍Mamaa mizagamuo nimemmiss kweri kweri jamani!!
🤣🤣🤣🤣🤭🤭🤭🤭🤭 Mbavu zangu mjombaaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣!! Mpigaji Sijaanza kurusha teke nishadondokaa 🤣🤣🤣🤣🤣Na huo mzigo plus katateee kweliii jamani
Unadondoka na kubakwaaa juu kuja shtuka majii tuu😁😁😁🤣🤣🤣🤣🤭🤭🤭🤭🤭 Mbavu zangu mjombaaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣!! Mpigaji Sijaanza kurusha teke nishadondokaa 🤣🤣🤣🤣🤣
lol mjomba 🙌🙌🙌🙌🙌😁😁 na akili yake ya weekend sasa ! Selfika mjomba kitambo sana jakuona ujue!!Unadondoka na kubakwaaa juu kuja shtuka majii tuu😁😁😁