Hongera,umepata mume mstarabu na mpole.
Pole kwanini hio hali inakutokea mara kwa mara,ni mrembo kupitiliza ama aina ya uvaaji?
Nkamu hapa umetupiga kamba😂Asante sana Mkuu.
Nadhani inatokea tu nipo kawaida sio mrembo na navaa mavazi ya kawaida suruali…gauni sidhani kwa mtumishi wa Umma anaweza kuvaa mavazi ya kuexpose mwili.
MweeMume wangu ni mpole sana sehemu ya kwanza akasema nyanyuka tuondoke, tukaondoka.
Sehemu ya pili ikabidi mimi ninyanyuke nikamuita Meneja why mdada anakubali kutumwa while ananiona nipo na mtu.
Sehemu ya tatu nikaishia tu kulia maana sikujua Mume wangu anafikiria nini kichwani mwake.
Wacha weeKiti Cha enzi
Kiti Cha sifa
Nyenyekea utapata majibu
Amini amini kuna jubu
Safari ya wapi babuView attachment 2406629
Tangu nimpe dalali mahindi yangu akaniuzie huko Mjini simu zake hazipatikani Wala hela hajanitumia.
Wacha nikajue huko huko [emoji2957]
Hello Friday [emoji1635]
Njoo tuimbeWacha wee
Usiache kupeleka watoto wetu!Ni bure kabisa tulete watoto View attachment 2406854
Bila shaka kipenzi changuUsiache kupeleka watoto wetu!
Inabidi tumlete mtoto wetu aiseeNi bure kabisa tulete watoto View attachment 2406854
Nakuja mchumba!Njoo tuimbe
Ngoja nifanye mpango waje!Bila shaka kipenzi changu
Nawe ulete wale wengine