Selfika na JF: Snap it. Show it

DEMU KAMA SIO MKALI ANAKAMIA UKIONA MWANA ANAJISIFU ANAKIBAMIA

UJUAJI KIBAO ATA K hujawahi kula usikute
 
Upo sahihi kabisa, ndoa nying zipo hoi..ila tumo tunaishi nazo kibingwa🤣, muhimu tu msituchapie jamani..hahaha!!
 
Hahaha, mimi nikiona pete hata kama nilishaanza kutumia kichwa cha chini kufanya maamuzi, naahirisha hapo hapo...sitaki shari na watu hata kidogo.

Una heshima sana inapendeza kuna viumbe wa Adam hawana adabu hata kidogo.

Kuna sehemu kama tatu nishakaa na Mr….si wadau wakawatuma waiter waniletee Business card, Vinywaji mmoja akasema anaomba kulipa Bill…ya mwisho niliishia kulia maana sikujua Mr ananichukuliaje
 

Sasa hayo sio mapenzi ni mateso jamani
 
Interesting...
Mr. Akurusha ngumi?
 
Aiseee watu Wana dharau
Hao Mr akiwakamata ni kunyongwa tu!
 
Interesting...
Mr. Akurusha ngumi?

Mume wangu ni mpole sana sehemu ya kwanza akasema nyanyuka tuondoke, tukaondoka.

Sehemu ya pili ikabidi mimi ninyanyuke nikamuita Meneja why mdada anakubali kutumwa while ananiona nipo na mtu.

Sehemu ya tatu nikaishia tu kulia maana sikujua Mume wangu anafikiria nini kichwani mwake.
 
Pole sana, huo ni udhalilishaji. Bahati nzuri upo na mume muelewa, mwingine kama sie ungewashwa moto wa kwenda.
 
Hongera,umepata mume mstarabu na mpole.

Pole kwanini hio hali inakutokea mara kwa mara,ni mrembo kupitiliza ama aina ya uvaaji?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…