Selfika na JF: Snap it. Show it

duh huyo Dada aisee hajaacha tu
bora uliondoka mapema aisee

alitaka akufanyie marudio yake .
Mimi mtu nikikuona siendani nae , navunja urafiki aisee .

mtu hadi unaonekana una tabia mbaya kisa yeye .

No time for toxic friends
 
shangaziiiiiiii mie sitakiiiii. Uwiiiiiiih
 
duh huyo Dada aisee hajaacha tu
bora uliondoka mapema aisee

alitaka akufanyie marudio yake .
Mimi mtu nikikuona siendani nae , navunja urafiki aisee .

mtu hadi unaonekana una tabia mbaya kisa yeye .

No time for toxic friends
Kabisa mm uzungu siuwez Kuna watu neno aibu hawaliewag kabisa alafu anakunywa mm sinywi hapo ndo tunakosana kabisa hatuendani ila tuna kma miaka 5 hatujaonana kilamtu kimpango wake
 
Kabisa mm uzungu siuwez Kuna watu neno aibu hawaliewag kabisa alafu anakunywa mm sinywi hapo ndo tunakosana kabisa hatuendani ila tuna kma miaka 5 hatujaonana kilamtu kimpango wake

Mimi napenda uzungu ila hapana aisee sio tabia hizo .

huyo hamuendani kabisa , na bora ambavyo hamwasiliani na huyo dada ...... watu wengine wanaweza kukurudisha nyuma bure .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…