Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Uniletee zawadi kutoka huko townKweli dahh tatizo nipo town haya nasubir
poa nakuwekea
Uniletee zawadi kutoka huko townKweli dahh tatizo nipo town haya nasubir
Ooh okay ,aaaah wapiiiii, madesa tyuuh yamejaa kichwan, hat siwazi hivyo.
Niko poaaah tyuuh.Ooh okay ,
vipi unaendeleaje lakini
mzima mieNiko poaaah tyuuh.
Vipi wee.
Ugali na dagaaUnaiita aunt unataka uninyime nn
Khe 😂BLACK AMERICA FAKEView attachment 2402903
Pitia hapa kabla hujaenda mastersFinalist yr umeanza rasmi leo, safari ya miaka 4 ya bachelor degree inaelekea ukingoni. Eeeh Jah nisaidie nihitimishe salamaaa.
![]()
Yupo mwanamke mmoja anayejitambulisha kwa jina moja la Nekesa ambaye amekuwa gumzo kwenye mitandao ya kijamii baada ya kuonekana akilalamika kwamba ana umri wa miaka 40 na bado hajapata mume wala mtoto.
Kwa mujibu wa video zake kwenye Tiktok, hafurahishwi na upweke unaomuandama kwa muda mrefu na kubainisha kuwa maisha yake hayaendi ipasavyo na anaelekea kukata tamaa.
Katika moja ya video hizo, Nekesa anaonekana akiwa amezama kwenye lindi la mawazo na kudai hana watoto ila anatumai kuwa ataolewa siku moja.
Nekesa anasema anamuomba mno Mwenyezi Mungu siku moja amjaalie mwanaume mmoja ambaye atampa huba lake lote.
“Miaka 40 sasa, sina watoto, mume au kuwa kwenye uhusiano wowote. Mungu wangu nisaidie,” Nekesa anaomba akionesha masikitiko yake.
Maelezo ya Nekesa yamewagusa wengi huku wakionesha kumpa matumaini kwamba siku moja atapata mume atakayempenda na kumpatia watoto.
Mungu akusimamie dear na uwe kichwa ktk shule Yako!Finalist yr umeanza rasmi leo, safari ya miaka 4 ya bachelor degree inaelekea ukingoni. Eeeh Jah nisaidie nihitimishe salamaaa.
View attachment 2402752

UshindweUgali na dagaa



hao wanawake milioni 1 na ushee wanaume wao wamewatoa wapi?Hahha noma aiseeAlafu Kuna mdada anasema nataka mume wa pekeyake ni wanne wanne dada tupo wengi😂😂😂View attachment 2403027
Defense mechanism wanatumiaSasa hii imekaaje maana kila mwanamke ukimfuata anakwambia ana mtu wake
hao wanawake milioni 1 na ushee wanaume wao wamewatoa wapi?
Ahsanteeeee sanaaa.Pitia hapa kabla hujaenda masters