Tunakupa airtime sana ndio maana sifa zimekuzidi National Anthem huyu aisha wako usimjibu tena anatafuta umaarufu kwa lazma. Ameshashiba ugali marage anaongea ujinga. Embu kachote maji huko kabla hajakatwa😏
Tunakupa airtime sana ndio maana sifa zimekuzidi National Anthem huyu aisha wako usimjibu tena anatafuta umaarufu kwa lazma. Ameshashiba ugali marage anaongea ujinga. Embu kachote maji huko kabla hajakatwa
Tunakupa airtime sana ndio maana sifa zimekuzidi National Anthem huyu aisha wako usimjibu tena anatafuta umaarufu kwa lazma. Ameshashiba ugali marage anaongea ujinga. Embu kachote maji huko kabla hajakatwa😏
Huyo jamaa huko juu ana upuuzi mwingi , kuna mahala nishazinguana nae sana ana tabia ya kuedit comments za wengine anaandika utopolo sijuagi ana shida gani. Hii kitu waiangalie kwa kweli.
ana maamgaiko na maisha yake, anashindwa kupambana nayo analeta makasiriko huku, ilihali kila mtu ana yake humu ndani ila tunajikaza kama binadamu wenye akili timamu.
Maxence Melo angalieni feature ya ku edit comment, kuna issue serious watu watafanya edit na kuharibiana leo hii mambo ya kawaida haina shida sana. lakini kuna siku mtu ata edit comment alafu yaweza leta shida na has ukute og comment imefutwa