Selfika na JF: Snap it. Show it

Invisible Paw

Naomba mods mpitie conversation yangu na huyu bwana na jinsi alivyohariri comment yangu kunichafua
Hii ndio fail kubwa ya JF.. mtu kuweza ku edit comments ya mtu. Mod wamelala ni wakufutwa kazi walale njaaa... ndio akili ziwakae sawa..

Maxence Melo angalieni hii feature ya editi za comment za mtu, namna ya kuboresha, sio kila mtu anaweza enda kwenye og comment na bahati mbaya ukute imefutwa alafu mtu ka edit vibaya
 
Huyo jamaa huko juu ana upuuzi mwingi , kuna mahala nishazinguana nae sana ana tabia ya kuedit comments za wengine anaandika utopolo sijuagi ana shida gani. Hii kitu waiangalie kwa kweli.
 
Mbona unalia mrembo?
 
Huyo jamaa huko juu ana upuuzi mwingi , kuna mahala nishazinguana nae sana ana tabia ya kuedit comments za wengine anaandika utopolo sijuagi ana shida gani. Hii kitu waiangalie kwa kweli.
Mbona mimi sina shida na wewe samahani kama nilishawahi kukukwaza

Mbaya wangu ni uyo shoga ako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…