Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hapana Mkuu
Aisee pole sana, sasa huko ulikuwa unakula nini, tukio lako limefanana na jamaa fulani anaitwa Christopher McCandless alifariki kwenye msitu huko nae aliondoka alikuwa hataki kukaa karibu na watu, jamaa kuna mmea alikula kumbe ni poison, alifariki kwa starvation na poisoning, jamaa nae aliondoka nyumbani kwa wazazi, aligawa pesa zote............ am not good story teller.
Chris McCandless - Wikipedia

Chris_McCandless.png

Kuna movie inaitwa into the wild ina story yake.. pia kuna kitabu. Tafuta utapata.
 
View attachment 2400721

I can't get over of this moment..

Actually one of the toughest moment of my life...

Hapa nilikuwa nimekimbia kazi nzuri sana ktk Kampuni kubwa sana hapa nchini...

I wrote my resignation letter nikawaambia naenda kujiendeleza kielimu lkn kiukwel I was running away...

Nobody knew what i was going through... Nakumbuka kuna jamaa aliniuliza dogo una uhakika na unachofanya... Nikamwambia Bro nina uhakika lkn moyoni nilikuwa na maumivu makali sana maana kazi nilikuwa naihitaji ukizingatia mazingira ya home lkn sikuwa na jinsi...

Baadae kwel nilienda kuchukua kikozi fulani cha muda mfupi ili kupotezea muda na mawazo kwa kutumia vile vijisenti nilivyokuwa nimekusanya pale jobuni...

Tulikuwa na eneo la familia la heka kadhaa katika mkoa fulani hapa nchini... Actually ni nje ya mji hasa porini... So Baada ya kugonga pepa nilimweleza Mama nataka niende huko nikafanye maendeleo ukizingatia sikuwa na kazi... Lakini moyoni hoja ni kustay away from people... Na niliona nikienda kule itakuwa sehemu sahihi ya kukaa mbali na viumbe waitwao watu... I just wanted to stay away from people intensively... Kila mtu nilikuwa namuona kama adui yangu...

Ukizingatia toka nilipopata bahati ya kuja hapa Duniani sikuwahi kuishi kujijini wala kujishughulisha na shughuli zenye mlengo wa kijijini... Maisha yalikuwa magumu sana kwangu... Kazi kubwa kule ilikuwa ni kulima na kufyeka mapori so nilijifunza kutumia jembe kwa ajili ya kulima na kutumia panga, shoka kwa ajili ya kufyeka vichaka na mapori...

Katika eneo letu hakukuwa na nyumba so nilifikia kwa Mwenyeji mmoja pale... Hivyo nilijenga nyumba kwa mikono yangu mwenyewe huku nikielekezwa na mwenyeji pale... Nilikata miti ya kujengea, nilichimba mashimo ya kusimikia miti, nilichimba udongo wa kukandia, nilifuata maji ya kuchanganyia udogo na maji yalikuwa shida kwel na kupatikana mbali.... Kwa upande wa kufunika boma na kuweka mlango nilipata usaidizi wa moja kwa moja kutoka kwa mwenyeji wangu...

Baada ya nyumba kukamilika nilihamia pale, nikatengeneza kitanda cha miti ili nipate mahali pa kuegesha mgongo... Hahahahaha

Niliishi hapo kijijini kwa takriban miezi 7 without serious interactions, nilikuwa nashinda hapohapo kuanzia asubuhi hadi siku hadi siku... Nyumba pale zilikuwa mbali mbali sana so kwa sehemu kubwa miji ilikuwa imezungukwa na mapori makubwa so nyoka wakubwa walikuwa wamejazana sana na kuna siku wanaamua kuja kukutembelea...

I can't forget that day nimetoka kufuata maji, ile nimerudi nyumbani nafungua mlango nasikia kitu kama kimekurupuka na kujificha mahali, nikajivuta kwenda kuchungulia nikaona nyoka mkubwa(Cobra).....

Katika yote bado najitahidi kuwapenda watu ambao Mungu aliamini ni sahihi kwa ajili yangu na kunifanya niwe karibu yao... Namshukuru tu!

Bado sijaget over but i am trying as much as possible kurejea...

Mkiona maisha yenu yanasonga smoothly just thank God.

Picha credit kwa dogo langu alikuja kunisabahi kaka yake so akatake that photo.
Take your time to grow
 
Pole Sana lakini bhna nkupe siri mwanangu

Ukishazaliwa mwanaume tunaishigi na maumivu mwanangu
Hatuachagi kazi au kusoma eti kisa tuna maumivu hamna bro tunapambana nayo hivyo hivyo unaumia moyoni lakini kazi zinaenda utafanyaje sasa

Mi marafiki zangu humu jf wanasema nimepotea ila hawajui nayopitia ni magumu we jamaa

Na kila kitu kwenye haya maisha ndugu kila kitu unachokijua hapa duniani lakini sina furaha ya moyo baada ya mwanamke nliyempenda na kumfanyia kila kitu kizuri anachotakiwa afanyiwe mwanamke kaka nliumia nipo na mwanangu hapa lakini na act tu na furaha ila sina na msongo wa mawazo uliopitiliza ule sio wa kitoto lakini siachi kazi bro naenda hospital na perform surgery narudi nyumbani nacheza game na mwanangu nalala uzuri sinywi pombe so nkienda sehemu ni kuangalia mpira kulala kazini basi
Mwaka wa pili huu sio kwamba sioni wanawake nawaona wazuri lakini ndo hivyo mambo yameharibika nmefuta mawasiliano kila kitu lakini siachi kumuwaza hata lisaa kwamba kama nlimfanyia yote yale....

So ndugu yangu bwana wanaume hatuachagi kazi hata kama maumivu ni makali vipi bhna hatuachi si tunacheka tu hata kama yanaumiza ndo uanaume Bob

Mimi leo nipo kwenye gari machozi yananitoka yenyewe uchungu ani najiskia uchungu ani lakini kazi fresh napiga so keep pushing forward only

Nakuona dogo Msinde
 
Mambo ya kawaida haya
 
Attachments

  • Screenshot_20220816-153729_WhatsAppBusiness.jpg
    Screenshot_20220816-153729_WhatsAppBusiness.jpg
    18.5 KB · Views: 3
Nashukuru sana Mkuu kwa ushauri mzuri sana..
Yaah nlienda kijijini pia lakini sio kuacha kazi boss wangu
Nlienda nkakaa atleast nkajua nataka nini I feel you bro

Mi nmekua muwazi maybe it may help you

Maisha yana maumivu lakini tunaishi boss na maumivu na uzuri maumivu huwa hayakai milele mwanangu

You just have to live

Live and welcome back to life
 
View attachment 2400721

I can't get over of this moment..

Actually one of the toughest moment of my life...

Hapa nilikuwa nimekimbia kazi nzuri sana ktk Kampuni kubwa sana hapa nchini...

I wrote my resignation letter nikawaambia naenda kujiendeleza kielimu lkn kiukwel I was running away...

Nobody knew what i was going through... Nakumbuka kuna jamaa aliniuliza dogo una uhakika na unachofanya... Nikamwambia Bro nina uhakika lkn moyoni nilikuwa na maumivu makali sana maana kazi nilikuwa naihitaji ukizingatia mazingira ya home lkn sikuwa na jinsi...

Baadae kwel nilienda kuchukua kikozi fulani cha muda mfupi ili kupotezea muda na mawazo kwa kutumia vile vijisenti nilivyokuwa nimekusanya pale jobuni...

Tulikuwa na eneo la familia la heka kadhaa katika mkoa fulani hapa nchini... Actually ni nje ya mji hasa porini... So Baada ya kugonga pepa nilimweleza Mama nataka niende huko nikafanye maendeleo ukizingatia sikuwa na kazi... Lakini moyoni hoja ni kustay away from people... Na niliona nikienda kule itakuwa sehemu sahihi ya kukaa mbali na viumbe waitwao watu... I just wanted to stay away from people intensively... Kila mtu nilikuwa namuona kama adui yangu...

Ukizingatia toka nilipopata bahati ya kuja hapa Duniani sikuwahi kuishi kujijini wala kujishughulisha na shughuli zenye mlengo wa kijijini... Maisha yalikuwa magumu sana kwangu... Kazi kubwa kule ilikuwa ni kulima na kufyeka mapori so nilijifunza kutumia jembe kwa ajili ya kulima na kutumia panga, shoka kwa ajili ya kufyeka vichaka na mapori...

Katika eneo letu hakukuwa na nyumba so nilifikia kwa Mwenyeji mmoja pale... Hivyo nilijenga nyumba kwa mikono yangu mwenyewe huku nikielekezwa na mwenyeji pale... Nilikata miti ya kujengea, nilichimba mashimo ya kusimikia miti, nilichimba udongo wa kukandia, nilifuata maji ya kuchanganyia udogo na maji yalikuwa shida kwel na kupatikana mbali.... Kwa upande wa kufunika boma na kuweka mlango nilipata usaidizi wa moja kwa moja kutoka kwa mwenyeji wangu...

Baada ya nyumba kukamilika nilihamia pale, nikatengeneza kitanda cha miti ili nipate mahali pa kuegesha mgongo... Hahahahaha

Niliishi hapo kijijini kwa takriban miezi 7 without serious interactions, nilikuwa nashinda hapohapo kuanzia asubuhi hadi siku hadi siku... Nyumba pale zilikuwa mbali mbali sana so kwa sehemu kubwa miji ilikuwa imezungukwa na mapori makubwa so nyoka wakubwa walikuwa wamejazana sana na kuna siku wanaamua kuja kukutembelea...

I can't forget that day nimetoka kufuata maji, ile nimerudi nyumbani nafungua mlango nasikia kitu kama kimekurupuka na kujificha mahali, nikajivuta kwenda kuchungulia nikaona nyoka mkubwa(Cobra).....

Katika yote bado najitahidi kuwapenda watu ambao Mungu aliamini ni sahihi kwa ajili yangu na kunifanya niwe karibu yao... Namshukuru tu!

Bado sijaget over but i am trying as much as possible kurejea...

Mkiona maisha yenu yanasonga smoothly just thank God.

Picha credit kwa dogo langu alikuja kunisabahi kaka yake so akatake that photo.
Umenikumbusha japo sikumbuki vzr ila kati ya mwaka 2016 nilikuwa na kiu kali ya kuspend muda na Mungu sikuwa nataka interaction na watu kbs ila inapobidi sana yaan naweza kutembea nikamuona rafiki anakuja njia yangu kwa haraka nabadili njia ili tusikutane na kuongea pengine mambo yasiyo ya maana.... Muda mwingi nilitamani mawazo yangu yasihame kutoka kwa Mungu nilikuwa hata nikila moyoni nafanya kuongea na Mungu kuhusu vingi vingi hata vile vya kijinga kbs

Kipindi hicho nipo chuo udom na kwa mnaopajua chuo kina vichaka vingi hivyo kila napopata muda nachukua biblia yangu naenda porini napiga magoti naomba nakaa nasoma biblia nachukua simu nasikiliza mahubiri kuna sehemu coed pana mti wa mwembe unaitwa mwembe Eden mitaa hiyo sasa... Wikendi moja nikapanga niende vijiji vya jirani ni spend muda wa siku mbili nikimuomba Mungu na kutembelea wahitaji kijijini niwasaidie na kuwafundisha habari njema...

Nilifanikiwa nikatoka jioni nikiwa na mikate na maji kwenye begi hadi kijiji fulani kinaitwa mapinduzi A nikatafuta eneo tulivu mlimani nikapanda ili nikeshe huko hiyo ni mishale ya saa mbili usiku niliomba na kuimba sikumbuki hadi saa ngapi ila sikutoboa saa sita woga na hofu vikanizidi nikarudi kijijini nikajibanza na mlinzi shuleni hadi asbh nikaondoka...

NB; kipindi hicho nilikuwa mkristo kweli kweli hata mwanamke akijileta namkwepa + nilikuwa HB nilitongozwa hadi na mrembo mkali chotara ila nikachomoa roommate wakaniona boya sana na Mungu alinitendea miujiza mingi ktk maisha yangu directly Ila baada ya kumaliza chuo nimebadilika na kuwa mtu wa hovyo mpenda dunia Mungu anisamehe na ni Imani yangu kubwa atanibadilisha tu mimi ni wake kwa sadaka ya Kristo sitobakia dhambini
 
Hb na ushoga havitengani
 
Back
Top Bottom