FK21
JF-Expert Member
- May 27, 2019
- 8,923
- 11,305
anaweweseka kweli anajua nachepuka kumbe wala na kingine dada yangu Nina wivu kweli ku share mabwana sjui ilikuwaje nikawa shoga![]()
Kumbe wewe juma lokole?
anaweweseka kweli anajua nachepuka kumbe wala na kingine dada yangu Nina wivu kweli ku share mabwana sjui ilikuwaje nikawa shoga![]()
mmmh,rafikiUsikute tamaa rafiki , jaribu inaweza tiki.
dah,acha ni mtazame tu anavyochatNdo hivyo
Utapata unachostahili,na si unachotaka.
naogopa rafiki, acha nile kwa machondio
fanya mambo ,
Za asubuhi
ooh vyema rafiki , maisha yanasemaje .naogopa rafiki, acha nile kwa macho
Za asubuhi ni poa
maisha poa kbs,karibu tupambaneooh vyema rafiki , maisha yanasemaje .
Asante Boss ,maisha poa kbs,karibu tupambane
km uchovu nije kuutoa na km ni kuumwa poleAsante Boss ,
Leo nimeamka kiuvivu , sijui ndo uchovu wa jana au naumwa .
thank you 😊km uchovu nije kuutoa na km ni kuumwa pole
nini imechangia,? Tunautoa kwa mazoezithank you 😊
Utautoaje ?
Jana sijalala vizuri inawezekana pia na hii imechangia
nitakaa chini aisee , sio kwa uvivu huunini imechangia,? Tunautoa kwa mazoezi
hahahaha,haya hy hy joggingnitakaa chini aisee , sio kwa uvivu huu
labda iwe jogging hivi
Arusha, leo usiku utafagia Soko kuu mpaka Samunge yote kisha utamalizia na KilomberoNianze soko la mkoa gani dada yangu mzuri 😎😂
Amkaaaaa fastaNimelala
Nipo naparangana huku, nilale hadi saivi nina raha gani mieAmkaaaaa fasta
na hapo utaniacha nyuma 😂hahahaha,haya hy hy jogging
hahahaha,dahna hapo utaniacha nyuma 😂