Siingizi dawa mwilini kama siumwi walai !! ππshida ni kuwa watanzania hatuna utaratibu wa kupata supplements.
hii Folic Acid ni Vitamin B9 ambayo wameweka kwenye vidonge .
kama vile vitamin C
sasa hiyo dawa ina shida gani jamani
Folate, also known as vitamin Bβ and folacin, is one of the B vitamins. Manufactured folic acid, which is converted into folate by the body, is used as a dietary supplement and in food fortification as it is more stable during processing and storage.
umekosea kusema hivyo na nimeweka viambatanisho vyote
CDC urges all women of reproductive age to take 400 micrograms (mcg) of folic acid each day, in addition to consuming food with folate from a varied diet, to help prevent some major birth defects of the baby's brain (anencephaly) and spine (spina bifida).15 Jun 2022
hahaha pole aisee ndo maana wanawasimamia maana mkiambiwa mnywe nyumbani ni mtu atazitupa tu hapo .Acha kabisa!! Na yalivokua makubwa fulani mapana πππππ! Ilikua lazima nibamizwe either kwa kutema kabisa au ile kuattempt kuirudisha kujifanya kama nataka kuivomitππ
mimi sina tu hela jamani ππSiingizi dawa mwilini na siumwi walai !! ππ
GoodSawa Mdogo ake na shangazi, now it cleared all those doubts
Na usingizi π΅π΅Njaa ππ
Mmnooooo!hahaha pole aisee ndo maana wanawasimamia maana mkiambiwa mnywe nyumbani ni mtu atazitupa tu hapo .
kuna mavidonge machungu mno aisee .
Umemisika chalii anguπ₯°
Liko wapi hili?
Hutoi taarifa kama unalala, ukiota vibaya je nani alaumiwe ?Na usingizi π΅π΅
nyumbani unapajua, uje unisabahiUmemisika chalii anguπ₯°
Naomba nilaumiwe mimiHutoi taarifa kama unalala, ukiota vibaya je nani alaumiwe ?
Tutaulaumu uchovu ππ Nilikuwa nimechoka nikaangusha kama teja π΅βπ«Hutoi taarifa kama unalala, ukiota vibaya je nani alaumiwe ?
Ngoja niwahi mwendokasi chap nikujenyumbani unapajua, uje unisabahi
Aah basi nimekuona[emoji328]View attachment 2396517
Sio Mjep kafanya uchoke ? Hujatoa udenda wa uchovuTutaulaumu uchovu ππ Nilikuwa nimechoka nikaangusha kama teja π΅βπ«
Ila si unajua mambo yetu kama kawa π€£π€£π€£Ngoja niwahi mwendokasi chap nikuje
Wewe tuπ€£π€£π€£Ila si unajua mambo yetu kama kawa π€£π€£π€£
Mwenyewe nilikuona, nakupungia ukawa busy kushangaa bahariAah basi nimekuona