Selfika na JF: Snap it. Show it

Hajawahi wapi muongo huyo,, vingine mtu unajiongeza unajua tu mmhh hapa nimelishwa tango pori..

Nitakuwa nakutafuta mwaya uniambie[emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23] kaongo sana.
Hapo bado hajaanza kudanganya hajawahi kufika dar.

Yaani akikwambia kitu niite nikidhibitishe kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…