unajua namuamini sana cute b kuliko wewe,, hata kama kaniambia jambo linalokuhusu wewe mwenyewe na ukalipinga nitamuamini yeye sasa ongea na mdogo wako vizuri uwe unampanga vitu vya kutuambia sisi ili msitindinganye mambo..
Umenikumbusha kuna ka pub kamoja pale magomeni ka kuitwa lango la jiji kalikuwa kanapiga taarab karibu muda wote zamani kidogo sijui kama bado kapo siku hizi