Hapo umenenaaaa!! Ukitaka ufurahie urafiki nae baki hapo hapo kwenye urafiki ukijifanya kuzamaa tyu tena ukajiroga kumpea na hujui mambozz imekula kwako mazimaaaa!!π!
Alikuwa ananipambania ..Tena alikuwa kipanga darasa lao akawa best student..
Mimi nilikuwa nyuma yake darasa moja ila kozi zetu Kuna masomo core tunasoma wote. Alikuwa ananipiga msasa Yale masomo,muda wote nimemganda nasoma naye.