Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,822
- 233,254
Sijaamini Eli jamani!Hahaaha pole
Nasubiri tu kuona Wige naye aje akukatae
Sijaamini Eli jamani!Hahaaha pole
Nilikuwa nimesinzia dohWeee juu usoni uliweka saa labda mdomo na kidevu ndio vilizungukwa na sharubu softiiii lainiiiiii...To have you is a blessing............. weeeuweeeeeh
Ile selfii matata yupo kwenye kirikouNae Arudie selfii yake ya usiku mkalii nilikua na usingizi sijaiona vizureeeee!! Naona wewe umedinda kutubless mchana heartbeat!
Khaaaaaaa!!Nae Arudie selfii yake ya usiku mkalii nilikua na usingizi sijaiona vizureeeee!! Naona wewe umedinda kutubless mchana heartbeat!
Hahahaha sijali wala nini 😂😂Sijaamini Eli jamani!
Nasubiri tu kuona Wige naye aje akukatae
Wewe ulivopata vocha badae ukapitiwa na usingiziiiiii😂😂😂😂! Hukumuona bana semeji kwa Anne?? Weeeeehh ulipitwaaaa ni mwarabuuuuuu sijui mzunguuuuuu anajua Anne mwenyewe!! Mkareee balaaa✌️✌️Nilikuwa nimesinzia doh
Anne mwenzetu umepata bado ticheze harusi
Na akane huruma zako zote unazomuoneaHahahaha sijali wala nini 😂😂
Wige atanikana pia ambavyo hapendi itwa Kaka 😂
😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣! Mama Mwarabuuuuuu hio combo ni Nyokkkkoo✌️✌️✌️ BaraaaaaaaaKhaaaaaaa!!
Uchawi upo🙌
Weuwe Anne hongera dear kwa kupata shombe shombe 😍😍Wewe ulivopata vocha badae ukapitiwa na usingiziiiiii😂😂😂😂! Hukumuona bana semeji kwa Anne?? Weeeeehh ulipitwaaaa ni mwarabuuuuuu sijui mzunguuuuuu anajua Anne mwenyewe!! Mkareee balaaa✌️✌️
Picha ya kivuliWewe ulivopata vocha badae ukapitiwa na usingiziiiiii😂😂😂😂! Hukumuona bana semeji kwa Anne?? Weeeeehh ulipitwaaaa ni mwarabuuuuuu sijui mzunguuuuuu anajua Anne mwenyewe!! Mkareee balaaa✌️✌️
Unamuamini?Weuwe Anne hongera dear kwa kupata shombe shombe 😍😍
Si mchezo , ndoa tunayo 🥳🥳🥳
Mmatumbi wa kinyakyusa leo amekuwa mwarabu ati😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣! Mama Mwarabuuuuuu hio combo ni Nyokkkkoo✌️✌️✌️ Baraaaaaaaa
Sijaona vizuri nilikua nimesinziaaa ni kama nyuma juu kichwani kulikua na pambo la bendera ya taifa niliona na shati la drafti draft ndogo hiviiii ... Mrudie nione vizurii msintanieeIle selfii matata yupo kwenye kirikou
Hairudii hadi uonyeshe picha za graduu
Mletee mwarabuuuu mlete mwarabuuuuu 💃💃💃Mmatumbi wa kinyakyusa leo amekuwa mwarabu ati
Hebu boss ledi tunaomba picha za graduuSijaona vizuri nilikua nimesinziaaa ni kama nyuma juu kichwani kulikua na pambo la bendera ya taifa niliona na shati la drafti draft ndogo hiviiii ... Mrudie nione vizurii msintaniee
Hahaha ngoja aje aiseeNa akane huruma zako zote unazomuonea
zimefutikaaaa😂😂😂🤣!! Mletee mwarabuuuu pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!Hebu boss ledi tunaomba picha za graduu
Mimi simu yote imeibiwazimefutikaaaa😂😂😂🤣!! Mletee mwarabuuuu pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!