Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,822
- 233,255
Hili ni namba sabaSaint Anne hapo vipi??,View attachment 2393495
Linayafuatia yale mengine yoote
Hili ni namba sabaSaint Anne hapo vipi??,View attachment 2393495
Umeamua utuchinjilie mbali airtel na vodaWadau mpoo??
Nataka nipandishe huu mzigo hapa
Itapendeza sana ukija nazo. Nimemisi kula Korosho Babu yako 😋Nakuja mwezi ujao, nikubebee na korosho![]()
Auntie wetu uko smart kila siku.
Nasubiri kuona mtoko wa Madam Boss leide de MC alivyokufa na fasheni ya mchuchumioShow kareeeee!
Aunt yangu mrembo mrembo😍😍
Mama Junia wake Pep guardiola kumbe upoo?U
Umeamua utuchinjilie mbali airtel na voda
Na ukiweka hunutag
Hii picha...
Na mabibe etiItapendeza sana ukija nazo. Nimemisi kula Korosho Babu yako![]()

Akina Nkamu hao wanachukua kimyakimya bila kushukuruMama Junia wake Pep guardiola kumbe upoo?
Naweka sana hapa sipati feedback mama mchungaji hata asubuhi ya leo nimepandisha airtel naona kama zinapotea tuu maana naweza kuandika namba vibaya nisijue huku naitupa vocha
Chunya ni kibokoView attachment 2393579
Vijana wenye ndoto kupitia Uchimbaji, hapa ndiyo kwenyewe (Babu yenu nimewaonesha tu 🤪) ila Muhimu mzingatie kusoma hilo Bango la Juu na kuchukua tahadhari.
Hello Friday 🥂
Yani Hao watakufa kifo kibaya sana😂Auntie wetu uko smart kila siku.
Wanyonya damu wachinjie baharini kabisa.
Watu wanaogopa malaria 😂😂😂View attachment 2393579
Vijana wenye ndoto kupitia Uchimbaji, hapa ndiyo kwenyewe (Babu yenu nimewaonesha tu 🤪) ila Muhimu mzingatie kusoma hilo Bango la Juu na kuchukua tahadhari.
Hello Friday 🥂
😂😂Tabia hii umeanza liniHii picha...
Naona kidole jinsi kinavyong'atwa na meno huku macho yamekulegea!! Ashiiii😋😋
Basi hiyo itakua ilipotea maana nikisharusha natupa na mimi huzinakili nawezasahau namba watu wote wanaweza dhani ishatumika kumbe badoAkina Nkamu hao wanachukua kimyakimya bila kushukuru
Ila kuna moja mwezi uliopita ilikosewa.
Japo sikuleta feedback.
Bora umesema watu wanshindwa kusema Asante jamni tunaonekana sisi na kina@Saint Anne kilasiku vibaya hivo 😂😂😂😂Mama Junia wake Pep guardiola kumbe upoo?
Naweka sana hapa sipati feedback mama mchungaji hata asubuhi ya leo nimepandisha airtel naona kama zinapotea tuu maana naweza kuandika namba vibaya nisijue huku naitupa vocha
Nitakuwa nakupa feedback ya waliozitumia Nkamu.Basi hiyo itakua ilipotea maana nikisharusha natupa na mimi huzinakili nawezasahau namba watu wote wanaweza dhani ishatumika kumbe bado