Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,902
Kaa kwa kutulia
Kaa kwa kutulia
Sina ninayemkwaza,
Maisha ni haya haya.View attachment 2392647
Kichaa wewe 😂 😂 😂Tajir wa mapenzi maskini wa kusaliti
Kuna wanawake wengine ukidate nao unapata mibaraka sana ubarikiwe yolly yolly [emoji7][emoji7]
Upo single afu ukipigwa busu unatetemeka kama trekta [emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]View attachment 2392596
Karibu tujumuikeNaomba bia Chief
Una chupa ngapi hapo?Karibu tujumuike
Uwezo wako tu.Una chupa ngapi hapo?
Nataka 3 tuUwezo wako tu.
🏊🏿♀️
Tutumie picha ukiwa unaogelea shemeji [emoji41][emoji41][emoji41][emoji2122]
Nawaambia wakaka wa baharini wanifundishe 😂😂Kumbe unajua kuogelea
Nakutumia WhatsApp 😂Tutumie picha ukiwa unaogelea shemeji [emoji41][emoji41][emoji41]
Poa mrembo, uko poa?Mambo mr vocha
Nimekujaa my kaka jamani miss you more🤗
Nilishakukataza hiyo tabiaNaomba bia Chief
Nipo poa na wewePoa mrembo, uko poa?
Hili jina la Mr. Vocha nilitafutie haki miliki tuu maana limeanza kuwa maarufu hadi huku mtaani kwangu