Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,822
- 233,254
La kuegesha
Muda wenyewe ulikuwa umeshafika
Muda wenyewe ulikuwa umeshafika
Ila zile white ndio uhakikaOoh pole
Ila zile white ndio uhakikaOoh pole
Huu wimbo umenifurahishaUna dhiki na maonjo?
Una mashaka pia?
Haifai kufa moyo
Dua atasikia
Hakuna mwingine mwema
Wa kutuhurumia
Atujua tu dhaifu
Maombi asikia
Huu wimbo umenifurahisha
Nyakati zingine unakuwaga mtu
Sio mbayaLa kuegesha
Muda wenyewe ulikuwa umeshafika
Ila zile white ndio uhakika
Achika bhas nikuwoweNyakati zote mimi mtu na nusu
Wewe tu bangi zako
White inawaka kweli ungaaLa kuegesha
Muda wenyewe ulikuwa umeshafika
Ila zile white ndio uhakika
La kuvaa ChurchSio mbaya
Kwamba huwezi livaa next time
Hips za mchongo ati!Achika bhas nikuwowe
Hizo hipusi ni balaa mwanawane
Ooh sawaLa kuvaa Church
Ila baada ya muda litaanza kuviringa uzi.
Mimi najua matumizi yakeHips za mchongo ati!
Kwamba yeye Kamanda hazipendi??
Unadhani yeye hajui?Mimi najua matumizi yake
Salama Mamii,Ooh sawa
Vipi habari ya leo
Hozaaaaaaa Karibuni Mnyegeree Welcome Saint Anne Tinsley Lovelovie sophy27 Tunaendelea kuweka mambo sawa kamati ya mapambo wametuangushaaa acha tuwakazie kwanzaa✌️✌️
Beautiful 😍😍Hozaaaaaaa Karibuni Mnyegeree Welcome Saint Anne Tinsley Lovelovie sophy27 Tunaendelea kuweka mambo sawa kamati ya mapambo wametuangushaaa acha tuwakazie kwanzaa✌️✌️
Sio nadhaniUnadhani yeye hajui?
Asante dearBeautiful 😍😍
Sherehe njema