Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,901
OhooNawaambia wakaka wa baharini wanifundishe
Namsubiri na Kaka Putin aje kunifundisha
Hao utarudi na mtoto asie na baba
OhooNawaambia wakaka wa baharini wanifundishe
Namsubiri na Kaka Putin aje kunifundisha
Hi babe😍
Kweli aiseeOhoo
Hao utarudi na mtoto asie na baba
AwwNimekujaa my kaka jamani miss you more![]()



Unapiga kelele ishapenyaKweli aisee
God forbid !!
Nitapiga makelele aisee
Usiseme hivyo 😂Unapiga kelele ishapenya
Hello darling😍Hi babe😍
Huyo ni kaka yangu ujue yeye akisema no tuu umenipotezaa
Ninataka za huyo jamaa tuNilishakukataza hiyo tabia
Humu ndani kwangu zipo nyingi
Utakuja kuwolewa bila mahari
Mi niko poa madamNipo poa na wewe
Hilo ndo jina lako jingine boss wetu wa selfika .
Na wewe mmoja waoMi niko poa madam
Ila hapa selfika na jf kuna maboss wenyewe ni hatari mimi ni kapuku tuu
Inabidi nibadili user name niachane na mjep
Na wewe umetokea wapi mzee baba?Kaa kwa kutulia
Aamin🙏🙏Na wewe mmoja wao
Unatupa zawadi za vocha daily hapaa selfika .
Upo na roho nzuri , ubarikiwe zaidi na zaidi
Haya ndugu ☺️☺️Can't wait![]()
Weuwe boss kashasema sasa 🥰Aamin🙏🙏
Na vocha siachi kuweka nitaendelea kuweka labda waniuee, tunagawana umasikini😀
jamani toto, gani hizo.. mbona mnataka nigombanishaHello darling😍
Kumbe nataka kumwaga mboga🙊
Bora ningemwaga ugali....
Inabidi nikaombe radhi hadharani
Ila boss wangu National Anthem hana shida mzee wa totoz😁
Unaniita ndugu unataka uninyime nn ww binti mrembo 😠😠😠Haya ndugu ☺️☺️
Sina cha kukupa ndo maana nakuita ndugu 😂😂Unaniita ndugu unataka uninyime nn ww binti mrembo 😠😠😠