Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Eti Saint Anne sadaka ya kujimaliza ndio ikoje ? Kuna mtu kachezea hela hapa analeta habari kulikua na sadaka ya kujimaliza nataka nijifunze kwanza toka kwa wanazuoni kabla sijamfikia
Kama upo Mule Kanisani,
Ukishika Wallet yako unatakiwa uchukue hela yenye thamani kubwa kuliko nyingine zote ndio uitoe.
Mfano;
Kama una note ya elfu 5,2,1 kwenye wallet yako,
Hapo sadaka ya kujimaliza ni elfu 5.

Mistari anayoisimamia
"YEYOTE AIOKOAYE NAFSI YAKE ATAIANGAMIZA,
NA YEYOTE AIANGAMIZAYE ATAIOKOA"

Ile Sadaka inayouma sana na yenye thamani kubwa huleta matokeo haraka.
 
Okay dear sis
Iiiigggweeeeeeeeeeeeeeeerereerereeeeee 😘😘😘😘😘😘😘😘!
Mwanamke lippppsss lippsss za kunyonywaaaaa 😛😛👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌!
Santo sana mamy sasa naweza endelea na shughuli Zangu vizuuuuureeeeee kabisa!!!
Barikiwa sana 😘😘
 
Asante madam wetu mrembo wa selfika
😍😍😍😍😍❤️❤️❤️
 
Back
Top Bottom