Amenn Amen!!Uniondolee ubatili na uongo
Usinipe umasikini wala utajiri
Unilishe chakula kilicho kadiri yangu
Nisije nikashiba nikakukana Yesu
Wala nisiwe masikini sana nisije nikaiba na nikalitaja bure jina lako Bwana.
Yeah Enjoy mkuu!!Huku ni mwendo wa sato tu![]()
Asante sana.Yeah Enjoy mkuu!!
Hapana,ni nickname ya mtaaniMkuu, we ndo ndama mutoto ya ng'ombe?
Bado mpaka saivi hata sijajua ntavaa nini sis na ni kesho!
Thank you... Tutafutane20,000

Jirani yangu mzuri mzuriGood morning madam

Ile pakti nzima, hivi zinakaaga 50 eh?Morning there. Unamaanisha moja yaani pepa moja au ile pack nzima?







bday yake inakaribia mualiko ukipata mathe 60% ndyo inaingia kwa partyMm pekee ndyo najua kukuridhisha kwenye mapenzi hao wengine bora wazungu watoke tuHapa ndani Nina wachumba kama mia kwa hyo nambie mapema we ni shemeji kwa Nani.....Nisije enda kumwambia Carrasco putin kua wige kasema hivi nkaumbuka kumbe ujumbe unatakiwa uende kwa mzabzab au kwa Poker au kwa wengine wote ambao sijawatag



😂😂😂Wacha weeeehMm pekee ndyo najua kukuridhisha kwenye mapenzi hao wengine bora wazungu watoke tu![]()
😂😂😂Mmeamkaje wadogo zangu
Mmeamkaje nyie single
Mmeamkaje wenye vitambi
Mmeamkaje wenye makomwe
Yolly yollybday yake inakaribia mualiko ukipata mathe 60% ndyo inaingia kwa party
Uko poa jirani?Jirani yangu mzuri mzuri![]()
Nipo nipo nipooo
SawA shemejiNipo nipo nipooo