Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,822
- 233,255
Nyeupe iko Bomba LovieNyeupe hapana me sishauri sana....Nashauri rangi View attachment 2391366View attachment 2391370
Nyeupe iko Bomba LovieNyeupe hapana me sishauri sana....Nashauri rangi View attachment 2391366View attachment 2391370
Niogope niniMhhhh kusema kweli hapo sielewi chchte....nambie ni Nani usiogope
SawA love😘😘😘Nyeupe iko Bomba Lovie
Niogope nini
Kuwa mpole shem wangu
Wee kumbe!! Hapo nimeacha basiUnadhani nipo peke yangu
Majukwaa yote yakodolea huku
Kuna gauni fulani ulivaa madam refu zuri kweli , nakumbuka uliwekaga humu .Hio kijani nimeielewa sis😘😘
Hapa ndani Nina wachumba kama mia kwa hyo nambie mapema we ni shemeji kwa Nani.....Nisije enda kumwambia Carrasco putin kua wige kasema hivi nkaumbuka kumbe ujumbe unatakiwa uende kwa mzabzab au kwa Poker au kwa wengine wote ambao sijawatagNiogope nini
Kuwa mpole shem wangu
Lilikua la rangi gani??Kuna gauni fulani ulivaa madam refu zuri kweli , nakumbuka uliwekaga humu .
Mimi wa 101😜Hapa ndani Nina wachumba kama mia kwa hyo nambie mapema we ni shemeji kwa Nani.....Nisije enda kumwambia Carrasco putin kua wige kasema hivi nkaumbuka kumbe ujumbe unatakiwa uende kwa mzabzab au kwa Poker au kwa wengine wote ambao sijawatag

Nahisi white hiyoLilikua la rangi gani??
Sidaiwi wala Sitoki na mume wa mtu 💃💃💃! Kwaraha zanguuuu🤸🤸🤸Tupia kwa raha zako
Kwani unadaiwa![]()
Oooooh karibu ntwaraKorosho
Full kujiachiaSidaiwi wala Sitoki na mume wa mtu 💃💃💃! Kwaraha zanguuuu🤸🤸🤸
Umeona eeehhhhhh 😍😘!Full kujiachia
Tumefanyaje?Wa dada wa Mbeya
Mnanifurahisha ga