Jack Palladino
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 7,245
- 22,552
Mbona nitayabeba yote sasa aisee!Saint Anne hili vipi???View attachment 2388855
Tena ni same size😊M
Mbona nitayabeba yote sasa aisee!
Hili ndilo la kwanza sasa.
Mchumba ninunulie basiTena ni same size😊
Shkamoo Mjedahahahahaha
Mlete mdhungu weeeeh 😍 😍 🔥
Ngoja tukusanye mia mia za kuanzia maisha.Hahaha mambo hayo
Nawaombea kila la kheri dear .
Hadi tucheze harusi sie 🥳🥳🥳
Mungu ni mwaminifu aiseeNgoja tukusanye mia mia za kuanzia maisha.
Akina Junia wasije kushinda njaa.
Mungu ni mwaminifu aisee
Hakika kila kitu kitaenda vyema
Nipo nashuhudia ibada ya ndoa hapa .
Ngoja nilifungueBonjour,naona umeweka kufuli mlangoni
Kumbe anauza?bei ganj?Mchumba ninunulie basi
Hauna msimamo 🤣🤣🤣🤣🤣M
Mbona nitayabeba yote sasa aisee!
Hili ndilo la kwanza sasa.
Ila lile namba moja langu lipo palepaleHauna msimamo 🤣🤣🤣🤣🤣
Ninunulie hata moja tuKumbe anauza?bei ganj?
Hamna shida. Nipe bei na utaratibu wa kulipiaTumuulize Lizzy
Ninunulie hata moja tu
Sio kwa ubaya, uko vizuriNimefanyaje tena jamani???😳
Ni maombi tu hapo hakuna asilo weza Mungu .Ikifika hiyo siku sijui itakuwaje i cannot imagine.
Mungu ni mwaminifu..
sema shetani naye yupo standby..anapiga vita mno.