Braza, braza,!!! Hela hizo unazozisema wanawake wanazo ziko wapi bwana, mimi sizioni ???
Kiufupi vijana wengi wa kitanzania tuna hali mbaya sana kiuchumi (Financial Stress)
Hivyo inabidi wawakubali tu, maana hakuna wanaume wengine......
Fedha mtatafuta wote, mbele ya safari hukooo......