Hapo sasaTuvumilie kutokuwa na ela tuvumilie pia na umalaya haipo iyo π
Njema sana dear! Naona mko na kikao π! Mie naomba niwe muandika muhtasari tu kwaleo βοΈHello Sis
Habari ya weekend
Katibu Sijaelewa hapa mjumbee... umesema kwambaaa tuvumilie penyless navenye wako waaminifu amaa?? Nataka nirekodi vizuri points zote!Hapo sasa
Mtu awe mwaminifu na hana hela hapo unamvumilia otherwise hapana
Karibu sana MadamNjema sana dear! Naona mko na kikao π! Mie naomba niwe muandika muhtasari tu kwaleo βοΈ
Mmesemaa.....??????
Nna muda sijasave picha yako,, fanya maajabu basi sister [emoji16]Wadogo zangu sophy27 Tinsley na CAPTORHINOMORPHS dada enu nipo hapa nawafuatilia kwa umakini[emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]
Habari za mchana wapendwa [emoji113]!
Santo sana Ndugu mjumbe!Karibu sana Madam
Tunadiscuss mapenzi ambavyo hayana formula
Na chocolate cake???Uje nayo hotel hiyo juice π
Ila akiwa na pesa na akicheat ni sawa[emoji15]Hapo sasa
Mtu awe mwaminifu na hana hela hapo unamvumilia otherwise hapana
Sina hata jipya mdogo wangu... kimeo changu sikuhizi kinazingua kinoma!Nna muda sijasave picha yako,, fanya maajabu basi sister [emoji16]
A loyal man ni ok hata kama yupo pennyless kikubwa upendo tu.Katibu Sijaelewa hapa mjumbee... umesema kwambaaa tuvumilie penyless navenye wako waaminifu amaa?? Nataka nirekodi vizuri points zote wajumbe!
Asante sana kwa swali mjumbe!!Ila akiwa na pesa na akicheat ni sawa[emoji15]
Cheating ndo nature ya wanaume haiepukiki .Ila akiwa na pesa na akicheat ni sawa[emoji15]
Mwambie bro anunue mpya[emoji16]Sina hata jipya mdogo wangu... kimeo changu sikuhizi kinazingua kinoma!
Nainukuu hii pia mjumbe ..βοΈ mwisho tutahitimisha kwa pamoja π!A loyal man ni ok hata kama yupo pennyless kikubwa upendo tu.
Unavumilia unajua unavumilia nn sio kilakitu Cha kuvumilia Tena wanakera zaidi adabu hamna Hela Hana umalaya nao anauweka wazi bas unateseka mara mbili ukija kushtuka parapanda imelia na hujawahi kupumzika Dunia hiiπHapo sasa
Mtu awe mwaminifu na hana hela hapo unamvumilia otherwise hapana
Katibu ukovizuriNainukuu hii pia mjumbe ..βοΈ mwisho tutahitimisha kwa pamoja π!