Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,222
- 50,170
National Anthem eti ya kweli haya?Still naona mambo mazuri
Haki umeumbika kunako
Haina ubishi
Au kaka yangu huyu ananisifia vya uongo
National Anthem eti ya kweli haya?Still naona mambo mazuri
Haki umeumbika kunako
Haina ubishi
Huu mzigo wenyewe huu nimegeuza simu juu chini sijaona mbwa 😁
Hizohizo Auntie, Mimi sijui.😂Chapat za maji tu hizo mpenz
Nilishasahau kama Mjep ni Muislam.Astaghfirullah..!
Bado umelala???Usiniamshe nitajiamsha 😊
haiba,,,!! hongera
Usijitetee tuko soteHahaahaa amna chalii angu
😆😆😆 Umeona nini hapoHuu mzigo wenyewe huu nimegeuza simu juu chini sijaona mbwa 😁
🤗🤗🤗🤗🤗🤗 WaooooSaint Anne ....hapa vipi???🙃View attachment 2387003
Awwwwww 😍 😍 😍 🔥🔥🔥Saint Anne ....hapa vipi???🙃View attachment 2387003
😁😁😁😁Awwwwww 😍 😍 😍 🔥🔥🔥
Hili sasa ni #1
asubuhi nililizoom kimyakimya ila halikuonekana vizuri
Bora umenikumbusha mweeUsijitetee tuko sote
Muache chalii afe na pressure
Ashikilie huku kwenye magauni😁😁😁😁
Kwakuwa nisingefahamu na wewe hufahamu tungesamehewa tuu bila shakaBora umenikumbusha mwee
Ningekupa kitimoto hivihivi
Hivi kwani huwezi jaribu ati😋Kwakuwa nisingefahamu na wewe hufahamu tungesamehewa tuu bila shaka
☺️☺️☺️☺️☺️🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗 Waoooo
Sinilikwambia uwe na subra ukakataa 😆😆😆😆Awwwwww 😍 😍 😍 🔥🔥🔥
Hili sasa ni #1
asubuhi nililizoom kimyakimya ila halikuonekana vizuri
Siwezi mama JuniaHivi kwani huwezi jaribu ati😋
Nimefika huku kwa Wapemba kila mtu ananishangaa imekuwaje leo 😁😁😁Ashikilie huku kwenye magauni
Amependeeeza