Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Kweli eeh?Nakuletea starter ili kuku wakue
Nawekeza mdogo mdogo
Ukiuza uninunulie zile nguo
Wanavaa kina mwaitege
Kweli eeh?Nakuletea starter ili kuku wakue
Nawekeza mdogo mdogo
Ukiuza uninunulie zile nguo
Wanavaa kina mwaitege
Nimepigwa na kitu kizitooo 😳😳😳😳😳 huyu itakuwa Mjep
Ushakutana na kitu inafyionzaNa ulivyo msweet
![]()

Namba yangu unaiokotea wapi?Baadae nitakupigia
Nikupe maelekezo
🙄🙄🙄🙄🙄 Huoni joto kwenye color ya ngoziUshakutana na kitu inafyionza
Basi ngoja ninyamaze
Tukapigwe upepo wa bahari, tutoe stressJumapili tukajifiche... 👇👇👇View attachment 2386749
Hatari lakini salama😛😀😀😀😀😀 Na ulivyo msweet 😋😋
Ewaaaaa ndio ndio ndioooo ☺️☺️Tukapigwe upepo wa bahari, tutoe stress
Pakali hapo😍
Kapigwa na kitu kizito huyo 😀😀Mambo ya mujini efuBii
Nizame masjid kwanza,Usitoke hapa
Na usisahau kuselfika
🤦♂️🤦♂️🤦♂️🤦♂️ Maumivu ya kichwa




Hii bei gani? Kuna Fire Fly ya kindezi ila bei 🔥🔥🔥Jumapili tukajifiche... 👇👇👇View attachment 2386749
Napitaga tu kwa nje,, pembeni yake wana kitimoto choma amazing 😂Naona maandalizi mapemaa, nasubiria jioni unilipe😂😂
Kuna hiko kijiwe cha wifi yangu kinaitwa Spabyenna ipo Njiro opp Jubilee tyre uwe unaenda na hapo
UnAenda na naniHii bei gani? Kuna Fire Fly ya kindezi ila bei 🔥🔥🔥