myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,792
- 721,062
Salam za usiku wadau..
Nzuri jirani vipi weweSalam za usiku wadau..
Salama kabisa jirani..Nzuri jirani vipi wewe
Ooh vyemaSalama kabisa jirani..
Niambie bro.. Nilikua nagombania mwendokasi.. aya umefurahi dereva wa Athlete ulioninyima gari weekend..
Kwanini sasa...???🙄Utaniamsha kesho 😊😊
Haya niamshe mda wowote basi 😊Kwanini sasa...???🙄
Tayari imekula kwake huyuKwanini sasa...???🙄
Unapiga bia tu mamaila Dj wa Bambalaga wanajua bana![]()
Basi enjoy good music it's wkend bambalaga DJs never disappoint nimepamis domhalafu beer sio starehe yangu
Dah.....
Safii sana.