Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

National Anthem nakusubiria...
20221013_194004.jpg
 
tamsana mkuu umekula chocho bado nakudaiiii Saint Anne nawe bado nasubiria mmalize kuweka mapozi na bwana Pep na Juniaa National Anthem mjomba nasubiria iendelee kupoa poa vizuri wewe mchana ulinibless Wakoraaaa waituuu ,, Alexprosper sijabahatika kuona selfii yako even a day am still waiting for the sapuraizzzzzzz Wigelekelo bado uko na vumbi kwa road bado nakudaii!! Hustler one katibu bado nasubiria tangu majuziii uloniahidi bado nasubiria ERoni mr uchebe kitambo sana hujaselfika . Tinsley mamaa lipss barikiwa mnooooooo leo nimebahatika kuona bongesa la lipssssss twiceee plus vidole lainiii vizuriiiii vimenonaaa balaa sophy27 mdogo wangu leo jakuona kabisa dear Lovelovie sis akee uliifanya asubuhi yangu ikaenda vema kabisa wabheja sana sis kipenzi,,
Shimba ya Buyenze babaa yutongs nawe kitambo sana sijakuona selfika... Alayna mzungu wetu mkareeee sana nae katususa kidogooo spidernyoka mjumbe I hope ushaget well mpendwa usisahau kutusabahi wanaselfika nduguu cocastic shoss angu uwepo wako unaamsha amsha sana Selfika sweetheart popote ulipo we do miss you alot babe!! myoyambendi aaaahhh jiraniiii nilibahatisha selfii ya mkono wako siku moja tu jiraniiiii mkwepu jr mr likes unaupiga mwingiii mkuuu santo sanaa Mjep the great kiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiinnnggggg wa kupita kama upepoooo sekunde mbili nyingiiiiiii weweee vocha zatoshaaa ubarikiwe na kuzidishiwa maradufu mpendwaa ukipenda utaongezea na selfis Bossi wetuu!!

Wishing you an enjoyable, ameiizzinngggg and wonderful weekend wapendwa!!



Antonnia!!
Wow Good
 
Pole kwa unayopitia,hope utakuwa sawa..
Mimi nimeumwa sana nilifika hatua nikaingizwa mpira wa camera mara nne...
Walichukua kinyama tumboni wakakituma maabara Nairobi na baadae nilianza tiba ila sikupona pia.
Nilikua sina raha ya maisha,pesa napata ila siwezi kula ninachokipenda...
Ni Mungu tu ndio anajua niliyopitia siwez hata simulia,kila dawa nilitumia
Nili blend makabichi..
Nili blend viazi mbatata..
Nili blend bamia
Habat soda
Dawa za kienyeji
Helgo kit zaidi ya mara 8
Madawa ya kisuna. .
Kifupi nimekunywa madawa mengi sana.

Ila kuna msamaria humu humu jf aliniambia atanipa dawa kama nikipona nitamlipa, nisipopona bhasi(ila alianza kunidai hata sijamaliza dozi ).
Ilikua ni ghali ila naamini ndio iliponya japo baada ya kupima nilionekana niko sawa ila kuna vyakula nilikua bado naogopa kula. Mfano dagaa,maharage,pilau,limao,ndimu,machungwa,nanasi n.k
Nashukuru Mungu sasa hivi nimepona nakula kila kitu, japo kuna vingine sili nimevichukia kabisaa...

Cha msingi hata bia sasa nakunywa.

Kwa kweli nilijaribu kugundua ameweka nini kwenye ile dawa niliambulia ni asali ya nyuki ndogo na mdalasini,vingine sikuweza kufaham na aligoma kunifundisha,kama angelinifundisha hakika kila anayeumwa nami ningemfundisha bure mana najua khali wanazopitia.

By the way hio asali na mdalasini imesaidia kuwapa nafuu baadhi ya watu ambao nimekua najua wanaumwa vidonda vya tumbo lakin hawakupona kabisa kama mimi.

Ushauri wangu jaribu kutumia na wewe japo inavuruga tumbo,ukianza na kijiko kidogo cha chai nusu saa kabla ama baada ya kula mara tatu kwa siku na kila ukipata nafuu ongeza kijiko cha pili hivyo hivyo mpaka vifike vijiko vitatu kabla ama baada ya kula kwa mda wa mwezi mmoja..

Pia uendele kutotumia vyakula hatarishi then utatujuza khali yako...
I wish you quick recovery.
Kaka nisaidie na mimi uyo mtu
 
Back
Top Bottom