Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Raha ya dunia pesa
Raha ya dunia pesa
Anayebisha ajeKhaaaa hahaaaa
Atanikuta standMdogo wangu piga vigele gele tu kabisa
Mwambie mrembo akija Mbeya asisahau kupita Nzovwe pale ukweni😜
Washamba tu 🏃🏾♀️Arsenal
Walinifurahisha![]()
Haya fanya kuibles weekend yangu mkuu pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!☺️Weekend umeianza mapema sana mkemia
Ni maumivu ya tumbo na mgongo....but wametupa majibu Tatizo ni typhod mom....nadhani ni maji si unajua watoto tenaAsante
Shida nini Nkamu?
Poleeee sana,Nipo na Mwanangu maranatha hapa,njoo unitembelee mkuu
Niko ugenini huku ngoja kwanza nisome mazingira wananzengo wasije wakanifukuzaHaya fanya kuibles weekend yangu mkuu pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!☺️
Asante sana cute wanguPoleeee sana,
Siasaaa kama Saint Anne jamanee 😔😔!! Tupe hata za zamani 🙄Niko ugenini huku ngoja kwanza nisome mazingira wananzengo wasije wakanifukuza
Mwee poleNi maumivu ya tumbo na mgongo....but wametupa majibu Tatizo ni typhod mom....nadhani ni maji si unajua watoto tena
Babu la mchongoUsijali Mjukuu, nitakuhadithia chote![]()

Amina, barikiwa sana 🙏Mwee pole
Mungu amponye haraka
MbaliziUmefuraaahi?
Utanikuta Mbalizi

Nazionea wivuAtanyonya mtoto nikizaa..
Sidiria tu inazibinya zimevimba..kunyonywa si ntaumia kabisa![]()