Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 35,667
- 70,299
Siku nyingine kipenziTupungie Kaselfie ka mkono
Siku nyingine kipenziTupungie Kaselfie ka mkono
Karibu sana@Saint Anne na December lazima nifike Mbeya kama utakuepo utanitembeza maeneo mawili matatu mdogo wangu!!
MweeSiku nyingine kipenzi
Na Mbey sasa hivi ni upepo na vumbiKaribu sana
Nipo huku,karibu sana.
Usisahau tu kubeba soksi usipasuke miguu Madam boss ledi wetu
Dada mzuri huyu jamani🤣🤣🤣🤣!!
Mimi sina helaImagine yale mapochopocho ya sophy27 mjomba!Afu Sweetmadame hana mambo mengi kabisaaa jamaneeee
!
Wigelekelo kwaani uko daboau wewe na Saint Anne mpaka kieleweke??
![]()
Mid 30's mimi sidanganyagi umri labda kapicha tuu kamekudanganyaAh wapi
Wewe upo kwenye 20 katikati
Mimi hata wiki sijamaliza ila miguu ishapasuka😭Na Mbey sasa hivi ni upepo na vumbi
Saint Anne Piga kelele tatru kwa dadaa akee........weeeehh weeeehh Weeeeuuuuuuweeeeeehhh!!💃😘
Utaniona live ntakuja mbeya ntakutafuta nakuja huko mara kwa maraTupungie Kaselfie ka mkono
30 nakataaa kata kata!!Mid 30's mimi sidanganyagi umri labda kapicha tuu kamekudanganya
Raha ya duniani unaiachaNiwe na chakula kwanza,nipate zile dollari nyinginyingiii,,niangalie Mpira mkali wa Liver huku nashushia mziki mzuri
Mungu anipe nini tena?

Tutapishana 🥺Utaniona live ntakuja mbeya ntakutafuta nakuja huko mara kwa mara
Ndaga nkamuu!! Nitafurahi sanaaa walai ✌️Nitakutembeza pia na kukupeleka kwenye ndizi hujihisi upo kwetu![]()
Duuuh hahhahahahah30 nakataaa kata kata!!
Raha ya dunia ni pesaRaha ya duniani unaiacha![]()
Sweet darling wake na @mjep😜
30?Duuuh hahhahahahah
Blaza umeopoa chombo 🔥🔥Sweet darling wake na @mjep😜
Hapo sawaTayari Bwana
