Walimu wa primary wanafanyia watoto mitihani.
Mkalalamika kwamba mzigo mnaupata nyie kwa sababu wale watoto wanakuja secondary hata kusoma hawajui.
Shida haipo kwenye kuiba mitihani tu!
Shida ipo pia kwenye mifumo ya mitihani ya primary siku hizi.
Multiple choice masomo yote.
Hakuna mtu atafeli,Hata yule ambaye hajui kusoma.