Angalia wewe ndo utaingia king shauri yakoYaani nakunyatia
Soon utaingia king
Angalia wewe ndo utaingia king shauri yakoYaani nakunyatia
Soon utaingia king
Una hakika sio Luku sista? Ni PM meter number nikujaze wa buku 2.TANESCO kama kuna kosa tumewakosea watu wa NJIRO-ARUSHA mtusamehe 😂😂
Ofisini mmekata saa 2 asbh, nimetokapo saa 12 kasoro flani bado haujarudi..
Nimefika home nikaandaa msosi, sijala nikamaliza nako mmekata… hapa nakombelezea moto kwenye Laptop 🥹
Sio vizuri jamani,, basi wakati mnajivuta vuta kurudisha umeme njoeni mselfike
Wee admn njoo uselfike TANESCO 😎
Langu jichoUtaumia kijana![]()
Safiiii jirani
🤣🤣TANESCO kama kuna kosa tumewakosea watu wa NJIRO-ARUSHA mtusamehe 😂😂
Ofisini mmekata saa 2 asbh, nimetokapo saa 12 kasoro flani bado haujarudi..
Nimefika home nikaandaa msosi, sijala nikamaliza nako mmekata… hapa nakombelezea moto kwenye Laptop 🥹
Sio vizuri jamani,, basi wakati mnajivuta vuta kurudisha umeme njoeni mselfike
Wee admn njoo uselfike TANESCO 😎
Mimi mtoto wa chuga chief😁Langu jicho
Usije sema sijakwambia
Ukipelekwa sbitali
Mwenye mji wake
Anamiliki binduki
Sawa arifMimi mtoto wa chuga chief![]()
Nina binduki 3🤣Sawa arif
Si unajua(ga) michezo yenu
Tume adopt
LazimaaaBro utaoa lakini![]()
Naunga mkono hoja.TANESCO kama kuna kosa tumewakosea watu wa NJIRO-ARUSHA mtusamehe 😂😂
Ofisini mmekata saa 2 asbh, nimetokapo saa 12 kasoro flani bado haujarudi..
Nimefika home nikaandaa msosi, sijala nikamaliza nako mmekata… hapa nakombelezea moto kwenye Laptop 🥹
Sio vizuri jamani,, basi wakati mnajivuta vuta kurudisha umeme njoeni mselfike
Wee admn njoo uselfike TANESCO 😎
😂😂 kuna mahali nimekuona..Una hakika sio Luku sista? Ni PM meter number nikujaze wa buku 2.
Niaje bro…Li zuri![]()
Sio beto??😲Nina binduki 3🤣
J3 asbh wamekata ofisini kutwa nzima,,nikarudi home wakakata saa 1 ukarudi saa 4 uckNaunga mkono hoja.
Tanesco inachofanya Arusha ni upumbavu wa kiwango cha Juu.
Poleni..J3 asbh wamekata ofisini kutwa nzima,,nikarudi home wakakata saa 1 ukarudi saa 4 uck
J4 jana,, ofisini hawajakata .. nikarudi kitaa wakakata kama masaa mawili , na ninasikia usiku walikata zaidi ya mara 2.. kuna muda mm saa 9 nimeamka kususu hamna umeme.
Leo ndio kama kawaida, ofisini kutwa nzima,, kitaani masaa manne
Tumezoea🤣
Thank youPoleni..
Nipooo. Umekuwa adimu sana Depal vp kwemaa?Upooo chalii Carlos Tevez
Namtazama tuu 😁😁Hiyo ngumu 😄😄