Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,514
- 235,219
Wanakwamisha shughuli za watu.J3 asbh wamekata ofisini kutwa nzima,,nikarudi home wakakata saa 1 ukarudi saa 4 uck
J4 jana,, ofisini hawajakata .. nikarudi kitaa wakakata kama masaa mawili , na ninasikia usiku walikata zaidi ya mara 2.. kuna muda mm saa 9 nimeamka kususu hamna umeme.
Leo ndio kama kawaida, ofisini kutwa nzima,, kitaani masaa manne
Tumezoea🤣
Watu wengi wanalalamika kazi haziendi.