Niko tayari πππππ€π€π€ Ujiandae basi
Mzungu wetu Lizzy
Nilisema mimi kuwa huyu dada ni mzungu.
Chizi wewe π€£Nimeamshwa na yolly yolly[emoji7] sshv poleni mlio amshwa na notification za JF [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Upo single afu una komwe [emoji23][emoji23][emoji23]
Hi nkamuπNkamuπππ
π€£π€£π€£π€£π€£Mzungu wetu Lizzy
Hadi nyimbo za kizunguzungu tu yaani
Sisi wabongo sasa..Unakuta mtu ameweka kibao Saluni ya Mama Kimbo.
Anne acha hizo bana....twende beach kesho uone waswahili tunavyojaa.πNilisema mimi kuwa huyu dada ni mzungu.
Waswahili na haya mambo ya kulalia hivi vitanda wapi na wapi!
Wewe sidhani kama utawezana na nyimbo za kina Mama Kimbo,mara sijui Sukari,Alamba.π€£π€£π€£π€£π€£
Ngoja nitafute hicho kibao na mie nisikilize π
Mapozi yao sasa utayaona tu.Anne acha hizo bana....twende beach kesho uone waswahili tunavyojaa.π
Hivyo kaka ya maandishi,Hapo kwenye kaka mtihani[emoji1787]
Mimi sijambo kabisa
Nyimbo zetu nyingi siku hizi wanaimba ujinga tena bila hata kutumia tafsida ndio maana sizipendi. Watoto wanavyoziimba sasa βΉοΈβΉοΈβΉοΈWewe sidhani kama utawezana na nyimbo za kina Mama Kimbo,mara sijui Sukari,Alamba.
Waswahili wakiona ubao wako wa playlist wanaona nyota tu.
Nipe M lipa yako nikufanyie muamalaIpo 4000 tu mkuu
Ulisikia wapi[emoji848]Kwani ww siyo Kaka?
MamboHi nkamu[emoji8]
Poa habari yako mkuuMambo
Madam wa Junia
Hauna kijana mwingine anaebakiπππView attachment 2384328
Wacha nipate mbinu ya ku negotiate wakati najiandaa kwenda Kulipa Mahali ya Kijana wangu π€π€ͺ
Hello Wednesday π₯