Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,313
- 95,667
mmmh,basi humu tumeshindwa wengi,hahahaNataka wahuko kitaaa kwenu si unajua humu nishashindwaga kitambo mjomba lakini!😁😁!!
mmmh,basi humu tumeshindwa wengi,hahahaNataka wahuko kitaaa kwenu si unajua humu nishashindwaga kitambo mjomba lakini!😁😁!!
Thank you AnneFuatilia Album zao za zamani
Ni hatari..Sijui kwavile napenda nyimbo za zamani ila Katika AIC Chang'ombe hizi Mbili mm niliwapenda hawa.
Wale wengine upepo umefifia.
Acha roho ya kukunjaTatizo gari lake kubwa mno siwezi kupanda
[emoji1787]Unafika hadi Ndola wewe jamaa
Utaachika tuVuta kiti ukae maana siyo leo wala kesho.
Siachiki ng'ooo
Ile tiketi ya ndege na cancelI [emoji3590] you
ShemejiAsante sana ccy ....niandalie mim pia namaliza kumvisha mtu nakuja
Toba[emoji849]Yaliyopita si ndwele best wagange yajayoooo!! Ndiomana naparangana hapa Mad Max amfanye mdogo wangu akasau hayoo!
Mzee sasa unatakiwa ulipe go and returnIle tiketi ya ndege na cancel
Naogopa mnoAcha uoga
Yana vibe kinoma
Niite (ko) BLNaona kule wanaume mmefunguka hatareeeeee!! Sisi tunaona nomaaaa!! Kuna vitu ukiviandika kule watu wata[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]! Hadi weeeeee[emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960]!!
Hawataamini[emoji40][emoji40][emoji40]!!
Siachiki ng'ooUtaachika tu
ball[emoji849]Here for everybody fan
Here for all 64 matches
Few weeks to go…
Holla World Cup [emoji91]
Njoo nikufundishe ball Lenie
Yaani kichwa cha mbele na kiwiliwili cha nyuma vinetenganaAcha roho ya kukunja
Lina ukubwa gani ushindwe kupanda
Isitoshe kuna kitanda jiko misosi kama yote
Space kubwa ya kujinyoosha
Kwanza nimekununiaIle tiketi ya ndege na cancel
Eendiwoooooooo msukuma!!!Toba[emoji849]
Amfanye[emoji848][emoji1787][emoji1787]
Samaleko mr vouuchaaaa!![emoji113]Mzee sasa unatakiwa ulipe go and return
Ili mrembo apunguze hizo I love u[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wewe susa tu shauri yako