Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Huyo sophy27 bado moyo wake upo kwengine yaani sii umeona hadi alianzisha thread kwa ajili ya mwamba. Na jana alipotea humu itakuwa alienda kumpa tamuuu 🤣🤣🤣

Wee usijali kuzeeka wote tutazeekantuu ila mhm sio kwa kifua hicho. Alafu unipakata ukiwa umenivalisha nepi u aninyo yesha hadi raha🤣🤣🤣🤣
Umeanza fantasy zako mzabzab mie simooooo!!🙌🙌🚶🏼‍♀️ Nataka mzee mie Vijana mna mambo miambiliii kidogooo siwaweziii kabisa!!!!
 
Nipe hongera sio kyee, sasa hivi naitwa Mr flanii [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Baba cheupeeee!! Wauweeeehhhhh [emoji126][emoji126][emoji126][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732]!!
Santo sana kuopoa chombo! Ndio mjomba utulie sasa uache bange zakooo uache mawenge yakoo wenawee![emoji3577][emoji3577]!!
 
Huyo sophy27 bado moyo wake upo kwengine yaani sii umeona hadi alianzisha thread kwa ajili ya mwamba. Na jana alipotea humu itakuwa alienda kumpa tamuuu 🤣🤣🤣

Wee usijali kuzeeka wote tutazeekantuu ila mhm sio kwa kifua hicho. Alafu unipakata ukiwa umenivalisha nepi u aninyo yesha hadi raha🤣🤣🤣🤣
Mako dinda mako stamina show show benderaa chuma mlingot chuma😂😂😂😂
 
hujakosea mimi nimewafahamu jana kwenye tamasha la wakati wa Mungu.

wanaimba vizuri na kucheza yaani ..full shangwe tu ni kumsifu Mungu tu .
Fuatilia Album zao za zamani
Ni hatari..Sijui kwavile napenda nyimbo za zamani ila Katika AIC Chang'ombe hizi Mbili mm niliwapenda hawa.
Wale wengine upepo umefifia.
 
Back
Top Bottom