πππNyie mbona mnanisingizia. Mwenzenu nina mke na mtoto kabisa mnasema eti bachelaπ€£π€£π€£π€£
Huyo sophy27 kwanza moyo wake bado upo kwa yule jamaa. I aelekea jamaa alikuwa anampiga show ya maanaNimesema wa kuzaa nae bana!!
Hilo la mke na watoto ndio ninalolijua sikuzote mr tatu mzuka!
πππBora umesema ukweli ππNimesema wa kuzaa nae bana!!
Hilo la mke na watoto ndio ninalolijua sikuzote mr tatu mzuka!
Wabheja sana dadake Mie kuhusu muamala asiwaze kabisaaa ntafurahi tu kuona mdogo angu ukiamka bila uchovu umefurahi na kutabasamu kila leo!!ππππNatumaini jioni ya Leo anatakiwa kufanya muamala Kwa madam
Mad Max sio Kwa cv hii iliyoshiba uliyoandaliwa ππππ
ππππWabheja sana dadake Mie kuhusu muamala asiwaze kabisaaa ntafurahi tu kuona mdogo angu ukiamka bila uchovu umefurahi na kutabasamu kila leo!!
Mambo yakitick mie furaha tosha kabisa!!
Wee najua ulishajikamatia jamaa hapo mnapeana utamuUmeona nataka kuaga usingle unakuja kunisagia kunguni ππππUnapenda niamke miguu miwil kilasiku shenziπππ
π€£π€£π€£π€£π€£π€£πUmeona nataka kuaga usingle unakuja kunisagia kunguni ππππUnapenda niamke miguu miwil kilasiku shenziπππ
πππWee najua ulishajikamatia jamaa hapo mnapeana utamu
Umechoka kuchambwa na Baba Yolly!!π€£π€£π€£Umeona nataka kuaga usingle unakuja kunisagia kunguni ππππUnapenda niamke miguu miwil kilasiku shenziπππ
Anampango nife single huyu ππ€£π€£π€£π€£π€£π€£π
Kabisa Yani Hadi kuoga katukataza et tusioge jamaniπππUmechoka kuchambwa na Baba Yolly!!π€£π€£π€£
Anataka unyongwe ashindwe na kuteketea kabisa! Haakutakii mema!!π€£π€£!!Anampango nife single huyu π
Unampango nife single best sio Bure ππππππ
Baba Yolly Yolly ana hatari yule usipooga si wachumba watakukimbia sasa hakutakii mema walai!Kabisa Yani Hadi kuoga katukataza et tusioge jamaniπππ
Kabisa hatuonei huruma Hadi kulala tutaanza kupewa masharti ππna gundu tumeongezewa kwenye manyanayaso yetu hatuna nyota hata Hela hatupati kamq baba yolly yolly πππAnataka unyongwe ashindwe na kuteketea kabisa! Haakutakii mema!!π€£π€£!!
Walishasema single wauwawe πππtunasubiri hukumu najitafutia msamaria mwema ananisagia kunguniπππAnataka unyongwe ashindwe na kuteketea kabisa! Haakutakii mema!!π€£π€£!!
Wee mwenyewe unaonekana shoo karee vilevile 3 mzuka sio ya mchezo mchezo lazima uwe vyedi!!π€ππΌββοΈππΌββοΈππΌββοΈHuyo sophy27 kwanza moyo wake bado upo kwa yule jamaa. I aelekea jamaa alikuwa anampiga show ya maana