Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Umemisika mpaka basi mamaa mwenye guu lake Africa Mashariki Kusi na kasii zakee
Miss you 😘😘
Miss you more my lovely..hebu weka basi yale mambo yetu usinifanyie hivyo ujue😎

Mambo yanaingiliana hata nawasahau😭
 
Miss you more my lovely..hebu weka basi yale mambo yetu usinifanyie hivyo ujue😎

Mambo yanaingiliana hata nawasahau😭
Usiwaze ngoja nimalizie kupika hapa nisiunguze ntakubless kama zore hadi utachoka mwenyewe!! Ile siku ulipishana nazo leo nakuahidi hadi uwepo kipenzi 😍
 
Back
Top Bottom