Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,796
- 48,044
Nimeipenda sana
Nimeipenda sana
sio fairMb zimeniishia[emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
Usiku mwema mkuu.
OohHata uki google sidhani kama utampata kuna song shilole amemshirikisha kama bwana harusi.
Una fanana na huyu kaka japo picha yako ulifuta haraka[emoji4]nilifuta sababu ya privacy,
Huyo msanii huyo simpati ngoja nim google
Mungu ni mwema sana jamani!Dua zenu zimesikika...I'm good for another 600km
View attachment 1258453
Napenda watoto walio serious ka huyo wako,Khaaah!! Huo mji foleni inaishaga kweli?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]@RRONDO anaomba tumuombee, simuombei hadi aanze yeye. Sio kwa mkoko ule[emoji23][emoji23][emoji23]
Uko nchi gani eti auntie[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
Usiku mwema mkuu.
Nilizotuma hujaziona?Si utume!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Napenda watoto walio serious ka huyo wako,
Kaka yangu anaye wa hivo hacheki yule dogo
Hivi kweli eeh, hatari sana!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kila mtu anahitaji maombi, tunatofautiana tu ni maombi gani.
😊😊😘😘DadaaKaka kasemaa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Uko nchi gani eti auntie
Ndio maana tunakumbushanaKweli aisee,wanaharibu uzi
HahahaUna fanana na huyu kaka japo picha yako ulifuta haraka View attachment 1258454
Mkuu mbona majaribu haya na unajua leo tuko kwa mama Chanja?[emoji1][emoji1]. Safisha macho kidogoView attachment 1258289
Huwa nawaona ni smart kichwani,huwa hawaongei sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwanini unapenda wasiocheka?