ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 52,365
- 118,743
We haya tu!!!Sijafunga banaa kaka!
Yaani nakumbatia pillow halafu nifunge pm mimi jamani?! Unanionea mimi kaka
We haya tu!!!Sijafunga banaa kaka!
Yaani nakumbatia pillow halafu nifunge pm mimi jamani?! Unanionea mimi kaka
iyo jeans ulichukua bei gani?
habari hawachiAnza wewe juzi kuna member kanambia niweke matokea yake hakuweka na katokomea.
Nimegundua tukiitumia jf vizuri tutapata konekisheni za maana sana,Mkuu hongera, unasukuma ndinga matata sana, naamini ni mjerumani huyu, tena sio wa utani utani, dadeq nikikuombea na wewe uniombee![]()
Elfu 23 mkuu,iyo jeans ulichukua bei gani?
Fanya kurefresh pm yako jamani kaka!We haya tu!!!
SidhaniFanya kurefresh pm yako jamani kaka!

Safi mpendwahabari hawachi
Kama wewe unaishi maisha ya ndoto zangu kabisaa!Nimegundua tukiitumia jf vizuri tutapata konekisheni za maana sana,
Watu humu tunachat nao wanaishi maisha ya ndoto zetu
nakuona mwandiko tu picha ikowapi?Safi mpendwa
dah! haina noma rangi nyeusi nimeielewa sanaElfu 23 mkuu,
Alianza 28,
Ile uliokuwa na Shunie iko poa zaidi 😁😁
Nikutumie nini eti jamani mkuu
Wote wataiharibu ila sio mimi darling. Happy Sabath.Tubarikiwe sote, nimetoka tu church nakutana na vitu hivi, nimeumia tu kuiharibu ibada yangu![]()
Aiseee mpendwa nimetuma mda huu hujaonanakuona mwandiko tu picha ikowapi?
Stori ziende na picha aisee