Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,221
- 50,170
Hivi mnawachukuliaje wasukuma?
Hivi mnawachukuliaje wasukuma?
Lushoto
Yolly yolly![]()
Mama yangu 😂😂😂
Mradi mwenyewe kajiwekea emoji inatosha😂Mama yangu 😂😂😂
Emoj zake akiyanani halafu hata yeye hazielewi
Asante SanaNenda bandari ndogo ya mbweni ukiwa stressed up,, utakuja nishukuru baadae View attachment 2378032
Safiiii
Linaitwa bokoboko, ngano inapikwa imechanganywa na nyama. Unaweza kuweka samli au mazima mtindi kama unavyoona kwenye picha. Wengine wanaongezea sukariNi vinini hivi?
Aisee!Linaitwa bokoboko, ngano inapikwa imechanganywa na nyama. Unaweza kuweka samli au mazima mtindi kama unavyoona kwenye picha. Wengine wanaongezea sukari
Aisee!
Nahisi siwezi kula
Nawahi hiki hiki
Wanyaki hoyeeeehivyo yaani![]()
Hujaenda kusimamia mtihani
HapanaHujaenda kusimamia mtihani
Wifi yang yolly yolly hajamboHujaenda kusimamia mtihani