Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,308
- 32,790
Ukianza na ww kwann Uwe single mm yolly yolly 😍 kashauteka moyo wanguNyie subirini siku ya kunyongwa
Ukianza na ww kwann Uwe single mm yolly yolly 😍 kashauteka moyo wanguNyie subirini siku ya kunyongwa
Ndoa lini Mdogo wangu,usinisahau mwalikoUkianza na ww kwann Uwe single mm yolly yolly 😍 kashauteka moyo wangu
mtumie nauli aje huko , hayo ndo mapenzi .Hahaha yani hapa tu anataka aje huku kanimic dahh
NI call then niongee na mtu fulan nilale😂😂😂
11.11
ndo siku yetu hiyo
Nikupe mualiko ww 😂😂😂si bora niwe single tuNdoa lini Mdogo wangu,usinisahau mwaliko
duh pole , sijajiunga mitandao yote ..NI call then niongee na mtu fulan nilale
Oukyduh pole , sijajiunga mitandao yote ..
nina dakika za Airtel tupu
🤣🤣🤣Nikupe mualiko ww 😂😂😂si bora niwe single tu
Ha haaa ila katibu mtu mbadi
Wewe lazima nikuingize kundi la kunyongwaUkianza na ww kwann Uwe single mm yolly yolly 😍 kashauteka moyo wangu
Wataelewa kweli hawa wajuaji wa kizazi hiki ?
Mwambie tutamchapa😂😂😂Poker Antonnia cocastic Beesmom mzabzab Saint Anne Carrasco putin Wigelekelo National Anthem myoyambendi Lizzy Depal Kelsea APEFACE Equation x Hziyech22
Nawasalimu kwa jina la Bwana😊
Jamani huku kwetu sa hv kila siku umeme unakata Tanesco wanategeshea ule muda nmefika nyumbani ndo wanakata najiuliza sijui x wangu ndo ameanza kunikomesha maan ni haka kamtaa kangu peke ake😍😍 miss y'll😘😘😘😘
Njoo twende hadi hiko chumba Cha kukatia umeme tukambondeMwambie tutamchapa😂😂😂