Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,901
Kaa kwa kutuliaNipigie mimi kama anaringa![]()
Nitakurogaweka namba yako
ThubutuuWigelekelo njoo umpe Valentina namba yangu anipigie
Ohhh pole sana nitaiona txt yako ngoja niki restore whatsappOkay !!
Namba yako ile haipo WhatsApp sijui
Nilikutext majuzi kimya
Dahhh boss umekuaje nimecheka sana 😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌Kama hajibu achana naye nitext mimi nitakujibu chap
Yani ningekuwa na uwezo dunia hii tungebak wawili tu Carrasco na yolly yolly 😍😍Wacha mapenzi yamchanganye kwanza
Sasa dunia yoote anaona ni yake na sisi wengine ni wapangaji tuu
Sijambo jirani habariHujambo jirani..
Salama jirani..Sijambo jirani habari
🙂🙂🙂 Nimetoka kazini nimechoka uje unichukue basi
Unipe mwenyeweWigelekelo njoo umpe Valentina namba yangu anipigie
Ukiondoka kabla huja duu ze nidfull nakununiaPokea sasa
Mambo mengi
Muda hautoshi
😒😒😒 Mbona kama una cheo cha Ukatibu
Nitavunjwa miguu na braza huoni alivyochukiaUnipe mwenyewe
Boss wangu wewe ndo umenifunza haya mambo mimi nafata nyendo zako tuu mkuuDahhh boss umekuaje nimecheka sana 😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌
ooh okay nduguOhhh pole sana nitaiona txt yako ngoja niki restore whatsapp