Nina jambo muhimu sana,nitawasiliana nawe👏🏼[emoji3059]View attachment 2377651
KaribuNina jambo muhimu sana,nitawasiliana nawe[emoji1376]
unavaaga official kumbeLushoto
Yolly yolly [emoji7] View attachment 2377673
Safi,hapo wakwe hawachomki,wamesema mil ngapi vile au mko kwa maelewano bado?😅😅Lushoto
Yolly yolly [emoji7] View attachment 2377673
Hicho kiatu ni kama anachovaa wajina wako Viadmir PutinLushoto
Yolly yolly [emoji7] View attachment 2377673
Nkamu sogeza sogeza camera tuone
Anaejua namna ya kuweka booking mapema ya [emoji3575]tuambizane jamani. From Dar to Arusha
Jirani Depal
Sema kweli nipo lukin goodunavaaga official kumbe
looking good
Alikwambia naenda kwa wakwe Nani nitolee nuksi zako ww kijana [emoji23][emoji23][emoji23]Safi,hapo wakwe hawachomki,wamesema mil ngapi vile au mko kwa maelewano bado?[emoji28][emoji28]
Length ya tie kidogo ipeleke size ya mkanda kwa juu
Oyaa ehhh boss Mjep umeanza lini hzo tabia bana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hicho kiatu ni kama anachovaa wajina wako Viadmir Putin
Nimeshakuwekea tayari precision AirAnaejua namna ya kuweka booking mapema ya [emoji3575]tuambizane jamani. From Dar to Arusha
Jirani Depal
Poza machungu kwanza na halotel ya jeroOyaa ehhh boss Mjep umeanza lini hzo tabia bana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]