Mr Pixel3a
JF-Expert Member
- Sep 15, 2021
- 6,983
- 10,372
Ujiran mwema bhan ntakuja kuazim charge bhas😅Nataka nipate yangu, niimiliki mwenyewe
Ujiran mwema bhan ntakuja kuazim charge bhas😅Nataka nipate yangu, niimiliki mwenyewe
😅😅 Hatar ,anatuchora kumbe tuYe ndo mtozaji mwenyewe....🤔🤔
Kuna mtu nilimdanganya kuhusu kitu flani….Haya unataka ushauri wa nini
Mtunzie Siri shem😅😅Ye ndo mtozaji mwenyewe....🤔🤔
Subiri bwanako atakuacha 😂😂 mm sina mudaaaaaNiacheeeeee
Ila ukila sharti ubakishe ukimaliza mm mpishi ndo nishinde na njaa nakufukuza😂😂utakosa sifa za kuwa mgeniExactly una roho muzur mpishi
Sijambo jirani, wewe je?Jirani, uhali gani
Nae mtozwaji tu bana....angekuwa kweli nisingesema.Mtunzie Siri shem😅😅
Hahaha nikubakishie my sio tatzo wee Tena 😄😄 ,mpishi anadai msosi waajabuIla ukila sharti ubakishe ukimaliza mm mpishi ndo nishinde na njaa nakufukuza😂😂utakosa sifa za kuwa mgeni
Anapitia vingi anatoza na kutozwa ,ahamie BurundiNae mtozwaji tu bana....angekuwa kweli nisingesema.
Antony wa Padua ,ukaokota embe kweny mnazi😅😅✌️Kuna mtu nilimdanganya kuhusu kitu flani….
Boom Mungu si Antony wa Padua akaona uzi uko same same na ile story ya udanganyifu 😂
Si akashare nami huo uzi,, sasa sielewi ananiwaziaje
Em nipigieKuna mtu nilimdanganya kuhusu kitu flani….
Boom Mungu si Antony wa Padua akaona uzi uko same same na ile story ya udanganyifu 😂
Si akashare nami huo uzi,, sasa sielewi ananiwaziaje
Tozo ikimfuata huko???🙄Anapitia vingi anatoza na kutozwa ,ahamie Burundi
Ninae nguvu sasa? Nimetoka juani huko hapa akili imevurugikaEm nipigie
Me niko vema jirani.Sijambo jirani, wewe je?
Nilikuwa shambani naandaa msimu jirani
Juani unatafuta nini sasa jamani, ukiyeyuka je 😂Ninae nguvu sasa? Nimetoka juani huko hapa akili imevurugika
Mdudu weeeeSubiri bwanako atakuacha 😂😂 mm sina mudaaaaa
Utume bhas huu wimbo tuenjoy