Labda ndio mara yao ya kwanza kupanda basiKuna mijitu ya mbozi huku mishamba
Halafu yamepanda pamoja na zilikuwepo siti za pampja,hayajakaa siti moja ili yatupigie kelele.
nipo poa vipi wwNzuri rafiki
Uko poa?
Mimi mzima kabisa bestnipo poa vipi ww
Good morning big bossGood morningView attachment 2376572
Dogo tulia hao ni wanyakyusa😂😂😂😂😂😂View attachment 2376514
Nakuona na yolly yolly…nice 😅
nimeamka salama 



msalimie wifi yetuBaby ake mtu yolly yollynimeamka salama
Nyie wengine mtasalimia na notification za JF![]()
Wangejua msukuma ww unavyoongea softlyWasukuma tumewakosea nini jamani
Acha pombe unenepe 🤣
Wanatuonea bureWangejua msukuma ww unavyoongea softly
Pindi saa ngapi?Topic: Reproduction 😊😊View attachment 2376651
TutawapigaaaaWanatuonea bure
Ukitoka gym 😊😊😊Pindi saa ngapi?