Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Ningekuwa na babe aisee ,ningemleta kwako ajifunze 😂😂Nataka mjifunze kwangu jinsi ya kupenda 😂😂
Ningekuwa na babe aisee ,ningemleta kwako ajifunze 😂😂Nataka mjifunze kwangu jinsi ya kupenda 😂😂
😂😂😂😂 msalimie shemeji au ww ni single forever au bora uzima tuTumekoma tusamehe tumekosa😂😂😂
Wanaume wote hao unakuaje single ww binti unachagua sana ehhNingekuwa na babe aisee ,ningemleta kwako ajifunze 😂😂
Tulia ww kijana hujui maana ya mapenzi najua kupenda najua kujali najua kuyaficha madhaifu ya yolly yolly 😍 wangu najua kumpa tabasamu hakiwa hana huzuni na mapenzi pia najua ndyo maana yolly yolly 😍😍 kakolea kwanguMapema mno kijana🤣
Hizi mbwembwe za mwanzoni sizikufanye tukakusoma kwa Millard ayo “kijana ajinyonga mara baada ya kutoambiwa ailavyuuuu na mpenzi wake”
Bora uzima tu😂😂😂nakula nashiba nalala😂😂😂😂 msalimie shemeji au ww ni single forever au bora uzima tu
Sina bahati na mahusianoWanaume wote hao unakuaje single ww binti unachagua sana ehh
Raha ya kula ulishwe sasa upo single unakula ili iweje shemeji 😂😂😂 nenda kwa Poker yupo singleBora uzima tu😂😂😂nakula nashiba nalala
Nikija nitakupa rafika angu muwe wote sitak Uwe singleSina bahati na mahusiano
Nawaachia nyie mnaoweza .
Sichagui hata , ila sionekani 😂😂
Mambo hayo 🥳🥳Nikija nitakupa rafika angu muwe wote sitak Uwe single
Nishachoka kuwa single 😂😂Nikija nitakupa rafika angu muwe wote sitak Uwe single
Usilalamike sana rafiki angu nipo kwa ajili yako nataka upate furaha kuzid furaha ninayopata kwa yolly yolly 😍😍 kupendana raha nyie hasa wote mkiendanaNishachoka kuwa single 😂😂
Nifanyie mpango na mie nideke
Pesa sina , na mpenzi sina aisee sio fair 😂
Huyo ndo rafiki yangu 🥰 ,Usilalamike sana rafiki angu nipo kwa ajili yako nataka upate furaha kuzid furaha ninayopata kwa yolly yolly 😍😍 kupendana raha nyie hasa wote mkiendana
Bora uende ukatubu
Hahahaha.......Uzee unatisha Mjukuu, hapa nimeanza kutubu Kwa unyenyekevu wote 🤗Bora uende ukatubu
Ameen babu yetu kipenz
😂😂😂Tulia ww kijana hujui maana ya mapenzi najua kupenda najua kujali najua kuyaficha madhaifu ya yolly yolly 😍 wangu najua kumpa tabasamu hakiwa hana huzuni na mapenzi pia najua ndyo maana yolly yolly 😍😍 kakolea kwangu
Hongera Babu ila kamkono ka gentleman bibi yetu alijua kuchaguaHahahaha.......Uzee unatisha Mjukuu, hapa nimeanza kutubu Kwa unyenyekevu wote 🤗
Ubarikiwe sana
Yupo single huyo kijana afu hana mambo mengi😂😂😂
Poker ya kweli haya nijiweke hapo😂