Amen… likewiseMmeshindaje nyie vijana mbarikiwe wikiend yenu iwe yenye furaha na mibaraka tele Mungu awabariki
Tumeamka salama,habari yako bwana masumbukoNyie single mmeamkaje![]()
😂MasumbukoTumeamka salama,habari yako bwana masumbuko
😂Tangu upate penz jipya tunanyanyasika sanaNyie single mmeamkaje![]()
Mambo ya irrigation of heart
😂😂😂😂😂 Yolly yolly 😍 anakusalimiaTumeamka salama,habari yako bwana masumbuko
Nataka mjifunze kwangu jinsi ya kupenda 😂😂😂Tangu upate penz jipya tunanyanyasika sana
Yeah,kijana anasumbuka huyu😂Masumbuko
Msalimie sana,nguvu za kusalimia wanaume waliosingle anapata wapi ?😂😂😂😂😂😂 Yolly yolly 😍 anakusalimia
Yani hata sijatumia tayari unaninyang'anya??🥺🥺🥺Naomba laptop yangu 🙂🙂
Ana waonea huruma sana tukitoka lushoto ndyo mtapata tabu sana sasa ngoja tukapate Baraka KwanzaMsalimie sana,nguvu za kusalimia wanaume waliosingle anapata wapi ?😂
😂😂Yeah,kijana anasumbuka huyu
Mapenzi yatamuua bwana masumbuko😅
Tumekoma tusamehe tumekosa😂😂😂Nataka mjifunze kwangu jinsi ya kupenda 😂😂
Mapema mno kijana🤣Ana waonea huruma sana tukitoka lushoto ndyo mtapata tabu sana sasa ngoja tukapate Baraka Kwanza