Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kweli mkuu sehem za ibada kwenda ni muhimu sana tusijisahau
Ni kweli aisee, Kuna wakati tunakuwa busy hata ibadani hatwendi Kwa kigezo Cha utafutaji.

Imagine tangu tumeanza kutafuta miaka Ile ya 72' tumevuna nini Cha zaidi? Mbaya zaidi hadi kwenye Umri huu wa Uzee bado tunatafuta🙆
 
Hahaha Kuna pipo huwa hazitak kusikia msikit wala kanisa aisee
 
[emoji3059]
IMG_20221001_222900_223.jpg
 
Back
Top Bottom